Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Lissu alipokuwa katika mkutano wa hadhara Kisarawe jana 9/7/2023 alisema, Magufuli alitufanyia mambo mengi sana mabaya, aliongoza nchi kama mali yake binafsi, lakini asisingiziwe kwenye kufanya biashara na Raslimali za nchi yetu kama alivyofanya Mwinyi, Mkapa au Kikwete, na kwamba aliwavuruga sana waliofanya biashara na Raslimali za Nchi yetu na akina Kiwete na Mkapa.
Lissu akasisitiza kwenye hili la kukabidhi Nchi kwa Wageni tusimsingizie, ni dhambi kumsemea uongo.
Wakuu mnasemaje?
Lissu akasisitiza kwenye hili la kukabidhi Nchi kwa Wageni tusimsingizie, ni dhambi kumsemea uongo.
Wakuu mnasemaje?