ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Mpumbavu ni wewe na baba Yako akiwemo huyo Magufuli unayemuabudu.Ndio maana narudia tena jipige kifuani useme mimi ni mpumbavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpumbavu ni wewe na baba Yako akiwemo huyo Magufuli unayemuabudu.Ndio maana narudia tena jipige kifuani useme mimi ni mpumbavu
Kwa utawala wowote ule uliofitinika hapa duniani, hayo yaliyotokea ni mambo ya kawaida kabisa kutokea, ni kawaida sana.Wakati mwingine huwa najiuliza ni kipi kilichomsukuma aliyevujisha ule mkataba akafanya vile?
Kwasababu hawa jamaa wamekuwa wakituchezea kwa mikataba ya hovyo miaka mingi sana, kwanini huu wa bandari ukawa mwisho wa kufichwa?
Nikaona inawezekana mpaka aliyeamua kuvujisha, nikiamini kabisa ni mwenzao, anayewezekana akawa anakula 10% nao.
Lakini alivyoona huu wa bandari hauna ukomo, waarabu watakuja kujitawala ndani ya nchi yetu, na uwepo wao hautakuwa na faida yoyote kiuchumi kwetu, wanakuta mazingira yote wameshatengenezewa, wao ni kuchuma faida na kupeleka kwao milele!, jamaa akaona hapana, kwa hili nawasemea kwa wenye nchi yao.
Ndio akauvujisha mkataba wa hovyo kabisa kuwahi kutokea katika historia ya nchi yetu.
Unataka wewe na mimi tujadili haya uliyo andika hapa chini?Yes, wote ni wajinga tu kwa sababu mmeishia kupiga miyowe tu mitandaoni wakati mama yupo kimya.