Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Ndio hapo watu wanapopaswa kumuamini Tundu Lissu kuwa SIO MTU WA KUSEMA UONGO.Absolutely.
Ni kweli kabisa kwamba JPM ana mabaya yake, tena ni mengi tu, lakini kuhusu suala la kuuza nchi kwa raia wa kigeni KAMWE HAHUSIKI.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Hulka ya Lissu ni kukemea lile baya bila kumchukia mtendaji, ni wazi hakunchukia Magufuli hata kama alitaka afe bali alichukia matendo yake vinginevyo asinge mtetea katika hili.