Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Absolutely.Lissu alipokuwa katika mkutano wa hadhara Kisarawe jana 9/7/2023 alisema, Magufuli alitufanyia mambo mengi sana mabaya, aliongoza nchi kama mali yake binafsi, lakini asisingiziwe kwenye kufanya biashara na Raslimali za nchi yetu kama alivyofanya Mwinyi, Mkapa au Kikwete, na kwamba aliwavuruga sana waliofanya biashara na Raslimali za Nchi yetu na akina Kiwete na Mkapa.
Lissu akasisitiza kwenye hili la kukabidhi Nchi kwa Wageni tusimsingizie, ni dhambi kumsemea uongo.
Wakuu mnasemaje?
Kama ni kweli Lissu katoa kauli hiyo, basi utakuwa mtaji wao mkubwa wa kisiasa kwenye Chaguzi zijazo. Hoja yangu inazingatia kuwa, viongozi wa CCM, wakati wa Awamu ya sasa ya Serikali, wamekuwa wakimkejeli mwendazake, na kumgeuka badala ya kujenga pale alipoishia au kuendeleza mazuri yake.Lissu alipokuwa katika mkutano wa hadhara Kisarawe jana 9/7/2023 alisema, Magufuli alitufanyia mambo mengi sana mabaya, aliongoza nchi kama mali yake binafsi, lakini asisingiziwe kwenye kufanya biashara na Raslimali za nchi yetu kama alivyofanya Mwinyi, Mkapa au Kikwete, na kwamba aliwavuruga sana waliofanya biashara na Raslimali za Nchi yetu na akina Kiwete na Mkapa. ...
Mkataba wa hovyo kuwahi kutokea tangu kuumbwa kwa Tanganyika, halafu aliyesababisha huo ujinga anajiona shujaa aliyeziba masikio hataki kusikia anachoambiwa atuondoe huko, huyu kwangu ni sawa na chizi anayetembea mtupu barabarani huku anakata kiuno kwa mwendo wa maringo.
Saa100 alijoona kichwa baada ya kupewa PHD ya bureMkataba wa hovyo kuwahi kutokea tangu kuumbwa kwa Tanganyika, halafu aliyesababisha huo ujinga anajiona shujaa aliyeziba masikio hataki kusikia anachoambiwa atuondoe huko, huyu kwangu ni sawa na chizi anayetembea mtupu barabarani huku anakata kiuno kwa mwendo wa maringo.
Cha ajabu ni kipi? Magufuli ni mjamaa ndio maana alifukuza wawekezaji,Samia ni Mwanamageuzi anakaribisha wawekezaji..Lissu alipokuwa katika mkutano wa hadhara Kisarawe jana 9/7/2023 alisema, Magufuli alitufanyia mambo mengi sana mabaya, aliongoza nchi kama mali yake binafsi, lakini asisingiziwe kwenye kufanya biashara na Raslimali za nchi yetu kama alivyofanya Mwinyi, Mkapa au Kikwete, na kwamba aliwavuruga sana waliofanya biashara na Raslimali za Nchi yetu na akina Kiwete na Mkapa.
Lissu akasisitiza kwenye hili la kukabidhi Nchi kwa Wageni tusimsingizie, ni dhambi kumsemea uongo.
Wakuu mnasemaje?
Tumuunge mkono kwenye hoja hii muhimuTundu Lissu ndio nachompendea, hapa kakusanya wote wawili. Hakuna unafiki