Tundu Lissu: Magufuli alitufanyia mambo mabaya lakini hakufanya biashara na Rasilimali za Nchi

Akili za upinde zikikukalia Sana kichwani unakuwaga MTU wa ajabu ajabu Sana.
 
"muungwana akivuliwa nguo huchutama" lakini hawa watawala wakoloni weusi wenye akili finyu kuliko chifu mangungo wanazidi kuchanua miguu tuu.
 
Cha ajabu ni kipi? Magufuli ni mjamaa ndio maana alifukuza wawekezaji,Samia ni Mwanamageuzi anakaribisha wawekezaji..

Lisu ni mjamaa kama Magufuli hivyo ni watu hatari na wasiofaa Kwa Ustawi wa watu maana wanaendeleza umaskini,uongo na propaganda
Jamii ya lisu na Magufuli ni jamii moja akishashiba yeye kifikra inamtuma nyote pia mmeshiba,tuwchane naye tusonge mbele .
 
Mwenye akili umesaidia nini taifa zaidi ya kuwa chawa humu
Tafsiri ya chawa ni Yako ila Msaada wangu mkubwa ni kuwapa Elimu na Kuunga Mkono sera za Mageuzi zimazozalisha Ajira,utajiri na maendelea..

Sio upuuzi na ujinga wa Wajamaa kusingizia Wageni propaganda na ujinga mwingine kama.huo unaoleta umaskini.
 
Anajikoooo, anajikoshaaaa.
 
Aliebuni hii bendera kakosea; na ndio tatizo huanzia hapo. Bendera haina blue. Hii inatakiwa ibadilike kwa kuingiza Rangi hiyo na ianze kutumika

blue humaanisha visiwa.
Kwani hujui hii ni ya tanganyika na rang ya blue ni kutoka ktk bendera ya zenji
 
Cha ajabu ni kipi? Magufuli ni mjamaa ndio maana alifukuza wawekezaji,Samia ni Mwanamageuzi anakaribisha wawekezaji..

Lisu ni mjamaa kama Magufuli hivyo ni watu hatari na wasiofaa Kwa Ustawi wa watu maana wanaendeleza umaskini,uongo na propaganda
Asiyefanya kazi na asile ni moja ya kauli alizokuwa anatumia Magufuli, hapa kazi tu nayo ni falsafa ya Magufuli. Unadhani tukizingatia kazi kwa juhudi na maarifa nchi itakuwaje maskini

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Tafsiri ya chawa ni Yako ila Msaada wangu mkubwa ni kuwapa Elimu na Kuunga Mkono sera za Mageuzi zimazozalisha Ajira,utajiri na maendelea..

Sio upuuzi na ujinga wa Wajamaa kusingizia Wageni propaganda na ujinga mwingine kama.huo unaoleta umaskini.
Ukitaka kujua nchi kama Marekani ni ya kijamaa au kibepari jaribu kuingilia maslahi yake usubirie reaction

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
TL akipewa nchi ataiendesha kijamaa. Huyu na JPM huenda hawana tofauti ni vile mafahari wawili hawapikiki chungu kimoja.
 
Cha ajabu ni kipi? Magufuli ni mjamaa ndio maana alifukuza wawekezaji,Samia ni Mwanamageuzi anakaribisha wawekezaji..

Lisu ni mjamaa kama Magufuli hivyo ni watu hatari na wasiofaa Kwa Ustawi wa watu maana wanaendeleza umaskini,uongo na propaganda
Boss, umepatwa na nini Tena, JPM huyu huyu uliye kuwa nampigia makofi mengi mengi, leo yuko kwenye kundi lako la watu hatari!!!!
 
Maneno bila vitendo ndio nini hasa? Akikamilisha mradi upi kwa.miaka 6?
Kulinda rasilimali za nchi ,Ujenzi wa hospital na vituo vya afya nchini , usambazaji wa umeme vijijini, ujenzi wa barabara ,ufufuaji wa ATCL,miradi mingi ya maji, vingine kavisome mwenyewe kwenye kwenye utekelezaji wa ilani ya chama chako 2015-2020

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…