Tundu Lissu: Makonda ni mhalifu mkubwa sana hapa Tanzania

Tundu Lissu: Makonda ni mhalifu mkubwa sana hapa Tanzania

Tumewawekea kijana anayefanana nao, kama mbway na iwe mbway maana ustaarabu waliushindwa wao wenyewe, wakaanza matusi jeuri kibri tumewapa huyo anayeendana nao ki hulka,
Kidumu chama cha mapinduzi.
Kwa huo ukubwa wa makalio au kitu gani?
 
Ama kweli, aheri unyimwe vyote, upate akili. Oneni huyu Etwege asivyojitambua wala hata kuelewa kinachojadiliwa!!
Unazani hajitambui? Anafanya kusudi kabsa. Hawa ni masalia ya ule utawala dhalimu
 
Ama kweli, aheri unyimwe vyote, upate akili. Oneni huyu Etwege asivyojitambua wala hata kuelewa kinachojadiliwa!!
WEWE ndiyo katka ambao hawajitambui unamuunga mkono lissu amabye anakuja kuleta fujo halafu anakimbilia ulaya awaache nyie mnapigana yeye akiwa salama ? anayemuunga mkono ni kama shoga tu akili zake ziko kwenye nya
 
wewe mimi naishi Tanzania tena naenda sana vijijini.sishindi kwenye IT rooms kama uvccm tunajua stori ya ukweli
unajua GWAJIMA anachokifanya huko kawe? anagawa khanga na matracksuti ya nn sasa?
Sio kosa lako mkuu. Wewe ushajazwa upepo wa kisiasa na wanasiasa uchwara ili utumiwe kama daraja la kisiasa kwa faida zao na familia zao.

Yani lengo lao ni wewe uendelee kuwa chawa wao kwa faida zao na familia zao.
 
Back
Top Bottom