Tundu Lissu: Makonda ni mhalifu mkubwa sana hapa Tanzania

Tundu Lissu: Makonda ni mhalifu mkubwa sana hapa Tanzania

Lissu ni mpumbavu sana, yeye ni mwanasheria badala afungue mashitaka amfunge Bashite anakuja kubwabwaja majukwaani.
Makonda kakaa miaka mitatu jobless hakusema kitu wala kumshtaki leo anahara majukwaani.
Akafungue kesi kwa nani wakati mpaka leo Bunge linakumbatia wabunge haramu 19 bila Katiba.
 
An imposter is a person who pretends to be someone else! Unalipwa bei gani na Bashite we mbwa wa porini kutumia majina ya makabila kuchafua hii forum?
Au wewe ni hermaphrodite mwenyewe aka Bashite?
Kama hujatumwa verify hili jina lako! Bastard
Kwa hiyo unaamini kabisa Wachaga wote hawampendi Makonda? Vipi Wasukuma wote wakimchukia Mbowe itakuwaje? Acheni ujinga wa ukabila!
 
Lema na Lisu wake zao wamewaachia wazungu wakifaidi utamu, alafu wamekuja huku kutupigia kelele za kijinga kabisa. Wasaliti wakubwa nyie
Wewe una akili gani kulinganisha na lisu?......
Njaa inakusumbua !!!
 
Wewe una akili gani kulinganisha na lisu?......
Njaa inakusumbua !!!
Kwa hiyo Lisu ndo nini kipimo cha akili? Ana nini cha ziada tofauti na kubwajaja? He is among the stupid leader!
 
Avatar uliyoweka haiendani na akili yako.

Unamdhalilisha Nelson bure. Bora ungeweka ya Mbowe au Lisu ambao ndio wanakutumia kuwatetea mitandaoni.
Mimi siishi kwa kumfurahisha au kumtumikia mtu bali kweli pekee.

Si Mbowe wala Lisu anayenifahamu.
 
Uvccm wanachojua ni matusi tu

Una uhakika mkuu? Sisi tusio na Vyama tunajua Nyie Vyama viwili lakini hasa aina ya wewe au vijana wa shule ya msingi mnaowatumia au Labda kubwa Jinga wavuta mambo, ndo wanaongoza sio tu kwa matusi bali pia kulazimisha wanachopenda wao Basi kila mtu afuate. Pitia uzi mbali mbali za mtu akitumia Nyie mnaopenda kuita „ uhuru“ wake anavyoshambuliwa kwa matusi na lugha za kitoto sana.

Jaribuni kuishi maneno yenu: Demokrasia na maendeleo. Uhuru wa kuongea na kutoa maoni. Acha mtofautiane. KUMBUKA kipendacho Roho. Hata ufanyaje ni mpaka siku yamkute.

Wewe humpendi fulani, haimaanishi kuwa na yeye hampendi.
 
Ama kweli, aheri unyimwe vyote, upate akili. Oneni huyu Etwege asivyojitambua wala hata kuelewa kinachojadiliwa!!
Alisikia tu lema na lisu yeye huwa hasomi ni mwendo wa matusi. Alikwenda shule kweli huyu etwege?
 
Lisu kachanganyikiwa baada ya mikutano yake kukosa watu, huku ya Makonda ikifunga mitaa 🤣🤣🤣

Mwaka 2025 nashauri Chadema wabadilishe mgombea, ili angalau wapate wabunge wengi. Akigombea Lisu itakuwa yale yale ya 2020.
Wewe una matatizo mahala. Siyo bure unalinganisha mikutano ya chadema bayo watu wanaenda wenyewe na ile ya c ambayo watu hupewa posho, usafiri, lhanga na wasanii juu? Hah
 
Back
Top Bottom