Tundu Lissu: Makonda ni mhalifu mkubwa sana hapa Tanzania

Tundu Lissu: Makonda ni mhalifu mkubwa sana hapa Tanzania

"kipofu haachi gongo lake", kama ni mhalifu ataufanya tena tu.
Tumewawekea kijana anayefanana nao, kama mbway na iwe mbway maana ustaarabu waliushindwa wao wenyewe, wakaanza matusi jeuri kibri tumewapa huyo anayeendana nao ki hulka,
Kidumu chama cha mapinduzi.
 
Ameongeza kwa kusema " kwa nchi zenye kufuatia utawala wa sheria Makonda alipaswa kuwa jela".

View attachment 2820200
Lissu ni mpumbavu sana, yeye ni mwanasheria badala afungue mashitaka amfunge Bashite anakuja kubwabwaja majukwaani.
Makonda kakaa miaka mitatu jobless hakusema kitu wala kumshtaki leo anahara majukwaani.
 
Lema na Lisu wake zao wamewaachia wazungu wakifaidi utamu, alafu wamekuja huku kutupigia kelele za kijinga kabisa. Wasaliti wakubwa nyie
Huwezi, kusaliti kama huna mamlaka na madaraka, wanaoweza kusaliti ni wale waliomadsrskani, au kwenye utumishi wa I'mma, wenye access na mifumo ya serikali, sasa tangu 1960,nani yupo madarakani? Kenge wa ccm, utumishi wa, umma wote wanapokea maelekezo kutoka ccm, (tumeona wakipigiwa cm na makonda) , Lisu, na Lema,sio, watumishi wa serikali,
Sasa hapo msaliti ni ccm na kenge wenzie walijazana kila sekta ya nchi hii, na ni wasaliti wa wananchi!
Wewe hapo, hata elimu ya juu huna, hata nyumba mbili tatu huna, huna hata ndugu mwenye cheo hazina, jeshini, au, ikulu, au, kwenye mifumo ya kifedha, bado una hustle, hata vitu kuu v yako Vita hustle, na kupiga deki mavi ya vitu kuu vya samia, kikwete na wengineo, harsfu upo hapa unatetea ccm, so pathetic
 
Duh 🙄 !!
 
Lissu ni mpumbavu sana, yeye ni mwanasheria badala afungue mashitaka amfunge Bashite anakuja kubwabwaja majukwaani.
Makonda kakaa miaka mitatu jobless hakusema kitu wala kumshtaki leo anahara majukwaani.

Wewe ndiyo punguani kabisa!!
Tangu lini raia wa kawaida anaruhusiwa kufungua kesi ya jinai dhidi ya mtu yeyote? Mtu hujui hata mambo basic namna hiyo, halafu bado unaamini una akili?

Wewe nadhani akili uliyo nayo ni ya kukuwezesha tu kufikisha chakula mdomoni mwako na kuvaa suruali.

Kesi zote za jinai kwa mujibu wa sheria za nchi yetu zinafunguliwa na DP pekee yake, na raia wengine wote nafasi yao ya mwisho ni kuwa mashahidi.
 
Wewe lazima ni kichaa, halafu unaamini watu wote hawana akili kama wewe.

Mkutano wa muuaji Bashite unaonesha watu waliopo mbele yake. Mkutano wa Lisu unaonesha watu walio nyuma yake. Una akili wewe!!
Avatar uliyoweka haiendani na akili yako.

Unamdhalilisha Nelson bure. Bora ungeweka ya Mbowe au Lisu ambao ndio wanakutumia kuwatetea mitandaoni.
 
Back
Top Bottom