lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 12,661
- 26,457
Acha tabia mbaya hiyo,kwani hastahili kuwa na familia😁
Aendelee kumpambania Rais, mambo ya familia atuachie sisi.
Eenhe, umesema jimbo lipo wazi na una mtoto mmoja? Ana umri gani ili nimtafutie shule huko Norway na Baba yake kama yupo nimtafitie kazi hapo Goma DRC au pale Gaza ili awe na shughuli nyingi kidogo.