Tundu Lissu: Mama Lowassa ni mwalimu wangu miaka 41 iliyopita

Mimi ni Ke mwalimu mkuu
Shikamoo mwalimu mkuu! (zamani ukienda uchagani huko migombani, mwalimu alikuwa anasalimiwa ''shikamoo mwalimu'' hata na watu wazee). Wengi ya waalim wa kike walioolewa na wanasiasa zamani. Kipindi hicho wanawake wengi walikuwa hawajainukia kwenye sekta nyingine kama ilivyo sas. Pia waalim wa kipindi hicho walikuwa ni watu wa mfano wa kuigwa, kitabia na kielimu. Na zaidi walikuwa wanachangia kipato cha familia kwa mshahara.
 
Sekondari hakufundishwi kiingereza cha kuongea...kwenye kuongea kiingereza mara nyingi huwa ni juhudi za mwanafunzi tu
 
Mke wa Lowassa Mama Regina Lowassa kafundisha wengi waliosona Ilboru miaka ile ya wakina Lissu. Mnavyosikia English ya Lissu mwalimu wake wa kwanza wa English ni mama Regina Lowassa. Lakini kafundisha wengi ikiwa pamoja na mawakili kama Chipeta na Mpuya.

Huyu mama ni katika wanawake ambao nawakubali sana. Basi tu moyo wangu umetokea kuridhika naye kabisa. Maana hana lawama utakazosikia kumhusu. Wanawake vijana wakichukua muelekeo wa mama huyu, basi tutakuwa na familia na pia jamii yenye nguvu.
 
Shikamoo mwalimu mkuu! (zamani ukienda uchagani huko migombani, mwalimu alikuwa anasalimiwa ''shikamoo mwalimu'' hata na watu wazee). Wengi ya waalim wa kike walioolewa na wanasiasa zamani. Kipindi hicho wanawake wengi walikuwa hawajainukia kwenye sekta nyingine kama ilivyo sas. Pia waalim wa kipindi hicho walikuwa ni watu wa mfano wa kuigwa, kitabia na kielimu. Na zaidi walikuwa wanachangia kipato cha familia kwa mshahara.
Walimu wa sikuhizi tumekengeuka balaa
 
Kamati ya mashosti na Majirani tumempitisha lukesam .....ampeleke babydady Goma🤣🤣🤣
Kilobaki atume bank statement tujiridhishe ni kibopa kweli au kilofa🤣
Achague moja, watoto waende kusoma Norway na baba watoto aende Goma au Gaza au yeye atembezwe huko Nanjilinji na Kizimkazi akiwa amevaa t-shirt kubwa la #MguuKwaMguuNaMama hadi alemae na MamaSamia2025
 
Walimu wa sikuhizi tumekengeuka balaa
Maisha mkuu. Siyo waalim tu bali ni jamii yote. Ni hivi: Bongo serikali ya CCM imeipeleka nchi kwenye njia ya maangamizi, hivyo maisha yamevurugika kila mahali. Tatizo ni kwamba wananchi hawaoni correlation kati ya ubovu wa maisha na uongozi. Na mbaya zaidi, badala ya kupigana ili kutatua tatizo letu ambalo ni uongozi, kila mtu anajaribu kutumia njia anayoijua kufanikisha maisha yake bila kujua kuwa njia sahihi ni kutatua tatizo la msingi kwanza.
 
Hakika....mfumo wa uongozi wa sasa ni mbovu mno
 
Maisha mkuu. Siyo waalim tu bali ni jamii yote. Ni hivi: Bongo serikali ya CCM imeipeleka nchi kwenye njia ya maangamizi, hivyo maisha yamevurugika kila mahali. Tatizo ni kwamba wananchi hawaoni correlation kati ya ubovu wa maisha na uongozi. Na mbaya zaidi, badala ya kupigana ili kutatua tatizo letu ambalo ni uongozi, kila mtu anajaribu kutumia njia anayoijua kufanikisha maisha yake bila kujua kuwa njia sahihi ni kutatua tatizo la msingi kwanza.
Shida siku hizi hamna kuvumiliana, watu wanaogopa kuinvest in their spouse's dreams.....
Ukiangalia hapo Regina na Edo hawakukutana tayari wako well off, Ila walivumiliana, wakabebana, sacrifice zikafanyika wamefika walipofika Hadi wamezikana.....Leo ukimvumilia mwanaume au mwanamke, ukamsupport, ukajisacrifice Kwa ajili yake akipata hata udiwani viti maalumu anakuacha🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom