Tundu Lissu: Mama Lowassa ni mwalimu wangu miaka 41 iliyopita

Mke wa Lowassa Mama Regina Lowassa kafundisha wengi waliosona Ilboru miaka ile ya wakina Lissu. Mnavyosikia English ya Lissu mwalimu wake wa kwanza wa English ni mama Regina Lowassa. Lakini kafundisha wengi ikiwa pamoja na mawakili kama Chipeta na Mpuya.
Didnt know this
 
Aidha Paul Makanda akiwa msibani amekiri Lowassa ndio mwanasiasa ambaye walimtukana lakini hakuwahi kunyanyua mdomo kumjibu mtu yeyote yule hapa Tanzania.

Huyu mtu ni jinga la mwisho...
 
Aendelee kumpambania Rais, mambo ya familia atuachie sisi.

Eenhe, umesema jimbo lipo wazi na una mtoto mmoja? Ana umri gani ili nimtafutie shule huko Norway na Baba yake kama yupo nimtafitie kazi hapo Goma DRC au pale Gaza ili awe na shughuli nyingi kidogo.
🤣🤣 mnunulie tu bodaboda akajimalize mwenyewe.
 
Mke wa Lowassa Mama Regina Lowassa kafundisha wengi waliosona Ilboru miaka ile ya wakina Lissu. Mnavyosikia English ya Lissu mwalimu wake wa kwanza wa English ni mama Regina Lowassa. Lakini kafundisha wengi ikiwa pamoja na mawakili kama Chipeta na Mpuya.

Tungependa kujua mwalimu wa mpendwa wetu Magufuli wa English alipokuwa form 1.

Kama kuna mtu anamjua mwalimu wa Hayati Magufuli wa English form 1 atuambie. Maana ukilinganisha na mwalimu wa Lissu wa pale Ilboru Mama Lowassa ni day and night
 
Mke wa Lowassa Mama Regina Lowassa kafundisha wengi waliosona Ilboru miaka ile ya wakina Lissu. Mnavyosikia English ya Lissu mwalimu wake wa kwanza wa English ni mama Regina Lowassa. Lakini kafundisha wengi ikiwa pamoja na mawakili kama Chipeta na Mpuya.

Tungependa kujua mwalimu wa mpendwa wetu Magufuli wa English alipokuwa form 1.
😁😁😁 Huna akili Kabisa!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom