Acha tabia mbaya hiyo,kwani hastahili kuwa na familia😁
Thanks muchImeisha hiyo
Tuko pamoja ndugu.. Kiukweli mimi sio mzoefu wa PM. Naomba nieleweshe kivipi PM inasomwa na wengi? Kina nani haoSouthern Highland asante kwa kutii ndugu.....afu mhusika amelala😳 tunaogopa pm maana jumbe zinasomwa na wengi kule... so hapa ni chap kwa haraka😜
Hapana. Nitafanya yote kwa pamoja.Wewe kwa hali hii hiyo 2025 si tunaweza kukutuma ukamtafutie kura Mama Samia ukaishia kusahau kazi ukaenda kutafuta wanawake?
🤣🤣🤣🤣 jamani jamani....mi nishawahi olewa ni mama wa watoto wawili,talaka 2021....nimechoka kuwa single kiukweli ila nikiona mnanichukulia poa na usinglemom wangu bora nife hivihivi(wanangu mama yangu hawezi kubali wachukuliwe kwenda pahala...katuzaa wawili tu hivyo wale ni Kama wanae....humgusi)Aendelee kumpambania Rais, mambo ya familia atuachie sisi.
Eenhe, umesema jimbo lipo wazi na una mtoto mmoja? Ana umri gani ili nimtafutie shule huko Norway na Baba yake kama yupo nimtafitie kazi hapo Goma DRC au pale Gaza ili awe na shughuli nyingi kidogo.
Oooh sawa. Mi huko hata sio mdau.Baadhi ya mods huchungulia mkuu
Una kheri mkuuOooh sawa. Mi huko hata sio mdau.
KivipiUna kheri mkuu
Mkuu punguza sifa Mwalimu wake wa kwanza wa English sio ReginaMke wa Lowassa Mama Regina Lowassa kafundisha wengi waliosona Ilboru miaka ile ya wakina Lissu. Mnavyosikia English ya Lissu mwalimu wake wa kwanza wa English ni mama Regina Lowassa. Lakini kafundisha wengi ikiwa pamoja na mawakili kama Chipeta na Mpuya.
Utakuwa tayari una familia...uende pm kutafuta niniKivipi
Sina familia mkuu. Ila kuchat na mtu anayetumia jina fake cha ziada kwake ni maneno tu hata picha humjui not my thing kabisa.Utakuwa tayari una familia...uende pm kutafuta nini
Nimekuelewa mkuuSina familia mkuu. Ila kuchat na mtu anayetumia jina fake cha ziada kwake ni maneno tu hata picha humjui not my thing kabisa.
Mnavyosikia English ya Lissu mwalimu wake wa kwanza wa English ni mama Regina Lowassa.
Njoo kwangu, mda si mrefu ndakuwa kibopaWalimu wanabahati ya kuolewa na vibopa sijui Wanakutaniana wapi nami nikampate huko....hii ndoto yangu lazima itimie.[emoji1431]
Inabidi uolewe na mwalimu wa kawaida.Mimi ni Ke mwalimu mkuu
.....walikutana chuo kikuu....mwaka 1 wote wameingia 1974.....au 1975...kumbuka wote wametokea Arusha ilikuwa rahisi kujuana hata kabla....chuo...Mama ni wa Kondoa...maskani ArushaWalimu wanabahati ya kuolewa na vibopa sijui Wanakutaniana wapi nami nikampate huko....hii ndoto yangu lazima itimie.🙏🏽
Anha...hapo nimeelewa mkuu.....walikutana chuo kikuu....mwaka 1 wote wameingia 1974.....au 1975...kumbuka wote wametokea Arusha ilikuwa rahisi kujuana hata kabla....chuo...Mama ni wa Kondoa...maskani Arusha
😂😂😂🤣🤣🤣🙌🏿Njoo kwangu, mda si mrefu ndakuwa kibopa
🥴Inabidi uolewe na mwalimu wa kawaida.
Mambo yatakuwa mswano
Njoo kwanguWalimu wanabahati ya kuolewa na vibopa sijui Wanakutaniana wapi nami nikampate huko....hii ndoto yangu lazima itimie.[emoji1431]