Tundu Lissu: Marasta ni wapigania Uhuru, nafuata nyayo za mashujaa

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Rastas ni freedom fighters. Waammbie wasikilize Bob watajua kwanini nina rasta. Na wasome Historia ya Maumau.

Tunafuata nyayo za Dedan Kimathi nyayo za mashujaa, sio za wanaopokea vipande thelathini vya fedha.

Mau Mau walikiiwa ni vuguvugu la kupinga ukoloni wa Uingereza nchini Kenya, hasa miaka ya 1950.

Baadhi ya wapiganaji wa Mau Mau walikuwa na nywele ndefu na ambazo hazikukatwa, jambo lililohusishwa na maisha ya msituni, mila za Kikikuyu, na utambulisho wa kupinga ukoloni.

Dedan Kimathi, mmoja wa viongozi mashuhuri wa Mau Mau, anaonekana katika baadhi ya picha akiwa na nywele ndefu pia.
Screenshot_20260903_125154_ChatGPT.jpg

Dedan Kimathi alikuwa mmoja wa viongozi mashuhuri wa wapigania uhuru wa Kenya wakati wa vita vya Mau Mau katika miaka ya 1950.
 
Akitoka akiwa raisi aendelee kufuga dreadlocks au waswahili tunaita rasta.
Tunataka raisi wa kwanza Rastafarian kifalsafa.
Si lazima aache kula nyama.
Pili ahalalishe bhangi (legalize marijuana).
Majina maarufu Weed, pot, grass, dope, reefer, ganja, herb, and Mary Jane.
Cannabis.
 
Rastas ni freedom fighters. Waammbie wasikilize Bob watajua kwanini nina rasta. Na wasome Historia ya Maumau.

Tunafuata nyayo za Dedan Kimathi nyayo za mashujaa, sio za wanaopokea vipande thelathini vya fedha.
View attachment 3662465
Mau Mau walikiiwa ni vuguvugu la kupinga ukoloni wa Uingereza nchini Kenya, hasa miaka ya 1950.

Baadhi ya wapiganaji wa Mau Mau walikuwa na nywele ndefu na ambazo hazikukatwa, jambo lililohusishwa na maisha ya msituni, mila za Kikikuyu, na utambulisho wa kupinga ukoloni.

Dedan Kimathi, mmoja wa viongozi mashuhuri wa Mau Mau, anaonekana katika baadhi ya picha akiwa na nywele ndefu pia.
View attachment 3662473
Dedan Kimathi alikuwa mmoja wa viongozi mashuhuri wa wapigania uhuru wa Kenya wakati wa Mau Mau katika miaka ya 1950.
Nchi huru, ya haki, yenye kufuata misingi ya Sheria italetwa na TUNDU ANTIPAS LISSU. Sioni mwingine in our life time
 
Rastas ni freedom fighters. Waammbie wasikilize Bob watajua kwanini nina rasta. Na wasome Historia ya Maumau.

Tunafuata nyayo za Dedan Kimathi nyayo za mashujaa, sio za wanaopokea vipande thelathini vya fedha.
View attachment 3662465
Mau Mau walikiiwa ni vuguvugu la kupinga ukoloni wa Uingereza nchini Kenya, hasa miaka ya 1950.

Baadhi ya wapiganaji wa Mau Mau walikuwa na nywele ndefu na ambazo hazikukatwa, jambo lililohusishwa na maisha ya msituni, mila za Kikikuyu, na utambulisho wa kupinga ukoloni.

Dedan Kimathi, mmoja wa viongozi mashuhuri wa Mau Mau, anaonekana katika baadhi ya picha akiwa na nywele ndefu pia.
View attachment 3662473
Dedan Kimathi alikuwa mmoja wa viongozi mashuhuri wa wapigania uhuru wa Kenya wakati wa vita vya Mau Mau katika miaka ya 1950.
Marasta wengi ni vichaa!
 
Afadhali amesema ukweli, marasta ni wavuta bangi. MAUMAU ndiyo njia anayotaka kuitumia? Sasa mnabisha kwamba huyo lofa ni mhaini? Kiukweli amepanic jela ni kubaya!
 
uendawazimu mwingine bana dah!🐒
 
Afadhali amesema ukweli, marasta ni wavuta bangi. MAUMAU ndiyo njia anayotaka kuitumia? Sasa mnabisha kwamba huyo lofa ni mhaini? Kiukweli amepanic jela ni kubaya!

..Ni lini Tanganyika / Tanzania ililaani maumau?

..Hata Ccm ni muunganiko wa Tanu na Asp.

..Sasa hao Asp waliingia madarakani kupitia uhaini / mapinduzi ya Zanzibar 1964.

..Wakati mwingine tuangalie mambo kwa muktadha wake.

..Ccm ina marafiki wanaoitwa vyama vya ukombozi kusini mwa Afrika.

..Vyama vyote hivyo vilijihusisha na kudai HAKI kwa njia zisizo za amani.
 
Yawezekana kweli lakini pamoja na hayo, Marasta wote wanaamini kuvuta BANGI ni dawa na inawapa mwamko wa akili iliyolala!
- Mwenyekiti mtu wa msuba?
 
Sio kila rasta anakula msuba tofautisha Rasta na Msuba
 
Back
Top Bottom