Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 4,985
- 3,493
Ata Hitler,Missolin,Gadaf ,Magufuli ,Amin nk walikua na misimamo na walisimamia wanachokiamini. TAL arudi tu mtaaniHuyu Mzee nilikuwa simjui vizuri.
Hii kesi yake imefanya nimjue ni mtu wa namna gani.
Nilikuwa sijui msimamo wa Lissu, hadi pale alipopata hii kesi.
Itoshe kusema huyu Baba ana msimamo🙌