baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
..Ni lini Tanganyika / Tanzania ililaani maumau?
..Hata Ccm ni muunganiko wa Tanu na Asp.
..Sasa hao Asp waliingia madarakani kupitia uhaini / mapinduzi ya Zanzibar 1964.
..Wakati mwingine tuangalie mambo kwa muktadha wake.
..Ccm ina marafiki wanaoitwa vyama vya ukombozi kusini mwa Afrika.
..Vyama vyote hivyo vilijihusisha na kudai HAKI kwa njia zisizo za amani.
Akili hana huyo