figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Nchi huru, ya haki, yenye kufuata misingi ya Sheria italetwa na TUNDU ANTIPAS LISSU. Sioni mwingine in our life timeRastas ni freedom fighters. Waammbie wasikilize Bob watajua kwanini nina rasta. Na wasome Historia ya Maumau.
Tunafuata nyayo za Dedan Kimathi nyayo za mashujaa, sio za wanaopokea vipande thelathini vya fedha.
View attachment 3662465
Mau Mau walikiiwa ni vuguvugu la kupinga ukoloni wa Uingereza nchini Kenya, hasa miaka ya 1950.
Baadhi ya wapiganaji wa Mau Mau walikuwa na nywele ndefu na ambazo hazikukatwa, jambo lililohusishwa na maisha ya msituni, mila za Kikikuyu, na utambulisho wa kupinga ukoloni.
Dedan Kimathi, mmoja wa viongozi mashuhuri wa Mau Mau, anaonekana katika baadhi ya picha akiwa na nywele ndefu pia.
View attachment 3662473
Dedan Kimathi alikuwa mmoja wa viongozi mashuhuri wa wapigania uhuru wa Kenya wakati wa Mau Mau katika miaka ya 1950.
Lissu akichukia jambo hakuachi upumue 😀Sio wanaopokea vipande 30 vya fedha 😄 😄 😄 mbowe na wahuni wenzie kazi wanayo
Uzuri Lissu sio mnafikiLissu ni mtukutu sana hapo kampiga kijmbe Mbowe vipande thelasini
Marasta wengi ni vichaa!Rastas ni freedom fighters. Waammbie wasikilize Bob watajua kwanini nina rasta. Na wasome Historia ya Maumau.
Tunafuata nyayo za Dedan Kimathi nyayo za mashujaa, sio za wanaopokea vipande thelathini vya fedha.
View attachment 3662465
Mau Mau walikiiwa ni vuguvugu la kupinga ukoloni wa Uingereza nchini Kenya, hasa miaka ya 1950.
Baadhi ya wapiganaji wa Mau Mau walikuwa na nywele ndefu na ambazo hazikukatwa, jambo lililohusishwa na maisha ya msituni, mila za Kikikuyu, na utambulisho wa kupinga ukoloni.
Dedan Kimathi, mmoja wa viongozi mashuhuri wa Mau Mau, anaonekana katika baadhi ya picha akiwa na nywele ndefu pia.
View attachment 3662473
Dedan Kimathi alikuwa mmoja wa viongozi mashuhuri wa wapigania uhuru wa Kenya wakati wa vita vya Mau Mau katika miaka ya 1950.
Kwa sababu ya bangi, wale wasiovuta wapo vizuriMarasta wengi ni vichaa!
Afadhali amesema ukweli, marasta ni wavuta bangi. MAUMAU ndiyo njia anayotaka kuitumia? Sasa mnabisha kwamba huyo lofa ni mhaini? Kiukweli amepanic jela ni kubaya!Rastas ni freedom fighters. Waammbie wasikilize Bob watajua kwanini nina rasta. Na wasome Historia ya Maumau.
Tunafuata nyayo za Dedan Kimathi nyayo za mashujaa, sio za wanaopokea vipande thelathini vya fedha.
View attachment 3662465
Mau Mau walikiiwa ni vuguvugu la kupinga ukoloni wa Uingereza nchini Kenya, hasa miaka ya 1950.
Baadhi ya wapiganaji wa Mau Mau walikuwa na nywele ndefu na ambazo hazikukatwa, jambo lililohusishwa na maisha ya msituni, mila za Kikikuyu, na utambulisho wa kupinga ukoloni.
Dedan Kimathi, mmoja wa viongozi mashuhuri wa Mau Mau, anaonekana katika baadhi ya picha akiwa na nywele ndefu pia.
View attachment 3662473
Dedan Kimathi alikuwa mmoja wa viongozi mashuhuri wa wapigania uhuru wa Kenya wakati wa vita vya Mau Mau katika miaka ya 1950.
Mvuta bangi mwenzakeNchi huru, ya haki, yenye kufuata misingi ya Sheria italetwa na TUNDU ANTIPAS LISSU. Sioni mwingine in our life time
Marasta wengi ni vichaa!
uendawazimu mwingine bana dah!🐒Rastas ni freedom fighters. Waammbie wasikilize Bob watajua kwanini nina rasta. Na wasome Historia ya Maumau.
Tunafuata nyayo za Dedan Kimathi nyayo za mashujaa, sio za wanaopokea vipande thelathini vya fedha.
View attachment 3662465
Mau Mau walikiiwa ni vuguvugu la kupinga ukoloni wa Uingereza nchini Kenya, hasa miaka ya 1950.
Baadhi ya wapiganaji wa Mau Mau walikuwa na nywele ndefu na ambazo hazikukatwa, jambo lililohusishwa na maisha ya msituni, mila za Kikikuyu, na utambulisho wa kupinga ukoloni.
Dedan Kimathi, mmoja wa viongozi mashuhuri wa Mau Mau, anaonekana katika baadhi ya picha akiwa na nywele ndefu pia.
View attachment 3662473
Dedan Kimathi alikuwa mmoja wa viongozi mashuhuri wa wapigania uhuru wa Kenya wakati wa vita vya Mau Mau katika miaka ya 1950.
Afadhali amesema ukweli, marasta ni wavuta bangi. MAUMAU ndiyo njia anayotaka kuitumia? Sasa mnabisha kwamba huyo lofa ni mhaini? Kiukweli amepanic jela ni kubaya!
Yawezekana kweli lakini pamoja na hayo, Marasta wote wanaamini kuvuta BANGI ni dawa na inawapa mwamko wa akili iliyolala!
- Mwenyekiti mtu wa msuba?