Tundu Lissu: Marasta ni wapigania Uhuru, nafuata nyayo za mashujaa


Akili hana huyo
 

Kwanza wanaelewa? Ukiwauliza Hakainde Hichilema ni sawa na Lissu kwa hapa kwetu, kwani alifungwa, akishitakiwa, na kila ovu, akiwa upinzani, ila Leo yuko madarakani wana ambatana naye, hawana wanalolijua mboga mboga.
 
Haya nendeni gerezani usiku akawatimue tena.
Mkuu sio kila unachoambiwa au kusikia basi kichukulie kua ni ukweli ndugu.. Tatizo tuzitupa aslimia kubwa. Kwamba wanaenda gerezani kumuomba nini? Daah basi bana..Ila tumuombee Kamanda na ili liishe awe huru
 
Marasta ni watekaji kwa tanzania
 
Huyu ndiye rais tumtakaye
 
Huyu Mzee nilikuwa simjui vizuri.
Hii kesi yake imefanya nimjue ni mtu wa namna gani.
Nilikuwa sijui msimamo wa Lissu, hadi pale alipopata hii kesi.
Itoshe kusema huyu Baba ana msimamo🙌
 
Huyu Mzee nilikuwa simjui vizuri.
Hii kesi yake imefanya nimjue ni mtu wa namna gani.
Nilikuwa sijui msimamo wa Lissu, hadi pale alipopata hii kesi.
Itoshe kusema huyu Baba ana msimamo🙌

Nachompenda sio MNAFIKI. ktk maisha yangu hakuna kitu nachukia km UNAFIKI.
 
Watu aina ya TAL sio rahisi kuwaona kwa miaka mingi maana huzaliwa kwa vipindi kadhaa na kwa makusudi kadhaa.

Ninajivunia nimemshuhudia TAL wa kupigwa risasi 32 na akatoka hai na anaendelea kusimamia kile anachoakiamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…