Tundu Lissu: Marasta ni wapigania Uhuru, nafuata nyayo za mashujaa

Huyu Mzee nilikuwa simjui vizuri.
Hii kesi yake imefanya nimjue ni mtu wa namna gani.
Nilikuwa sijui msimamo wa Lissu, hadi pale alipopata hii kesi.
Itoshe kusema huyu Baba ana msimamošŸ™Œ
Ata Hitler,Missolin,Gadaf ,Magufuli ,Amin nk walikua na misimamo na walisimamia wanachokiamini. TAL arudi tu mtaani
 
Mimi ni Rasta lakini mbona sichomi mpepe?acha hizo
Yawezekana kweli lakini pamoja na hayo, Marasta wote wanaamini kuvuta BANGI ni dawa na inawapa mwamko wa akili iliyolala!
- Mwenyekiti mtu wa msuba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…