DPP majibu tafadhali.... utaifuta kesi ili uifungue upya ama utaomba review uongezee uzito wa hati ya mashitaka ? maana unamtia hatiani mtuhumiwa mashitaka ya UGAIDI bila evidence iliyo wazi - umewaza tu kwamba alitaka....umejuaje ama una roho mtakatifu ndani yako alikwambia kwamba Mbowe atakwenda kulipua vituo vya mafuta kwa idadi visivyojulikana hata maendeo vilivyoko.
Pia dola $250 zinaweza kufadhili UGAIDI? au kukodi wale bodaboda wapora pochi za kinamama?
Pia dola $250 zinaweza kufadhili UGAIDI? au kukodi wale bodaboda wapora pochi za kinamama?