Version za kesi tena? 🤣 🤣 🤣 🤣. Mnakwama wapi jamani? Kesi zinafunguliwa kwa version siku hizi!Lisu asipuuze mashtaka, apambane ashinde kesi kwanza. Hawezi jua kuna version ngapi za hiyo kesi.
Mkuu Lissu yupo sahihi. Ni kesi rahisi sana kama sheria itachukuwa mkondo wake. Ina maana kama CCM na serikali watatumia turufu yao ya kawaida ya ubabe kushinda, watakuwa hawajashinda kwa sababu ya u-smart wao bali nguvu, hence siyo kwa sababu kesi ilikuwa ngumu ila kwa sababu walidhamiria...Sikubaliani na TL.
..Ni kesi ngumu sana kwasababu mahakama zetu ni mali ya CCM.
Lisu hajakimbia kesi.Lisu yeye kakimbia kesi bado anaona zawenzake nyepesi, Lisu ni mwoga sana
USSR
Hawa watu wanavichekesho sanaAnazungumzia Ugaidi wa Laki saba au.??
Zile risasi karibu a 40 alizopigwa kwa amri ya Magufuli na Samia ndio kesi au ni mauaji?!Lisu yeye kakimbia kesi bado anaona zawenzake nyepesi, Lisu ni mwoga sana
USSR
Noma sana !DPP majibu tafadhali.... utaifuta kesi ili uifungue upya ama utaomba review uongezee uzito wa hati ya mashitaka ? maana unamtia hatiani mtuhumiwa mashitaka ya UGAIDI bila evidence iliyo wazi - umewaza tu kwamba alitaka....umejuaje ama una roho mtakatifu ndani yako alikwambia kwamba Mbowe atakwenda kulipua vituo vya mafuta kwa idadi visivyojulikana hata maendeo vilivyoko.
Pia dola $250 zinaweza kufadhili UGAIDI? au kukodi wale bodaboda wapora pochi za kinamama?
Labda yeye na pole poleNani kachangikiwa ewe binti wa hapo lumumba...
Kuna kesi mpya hapo yaleyale ya kila mwamba atatoka
Ni aibu ya gaidi Mbowe aliye gerezani na nyie wafuasi wake.Aibu yako
Babu akoNi aibu ya gaidi Mbowe aliye gerezani na nyie wafuasi wake.
Kuna msemo usemao ukitaka kujua kilipo kichwa cha chatu piga mkiani, sijui kama umenielewa.Version za kesi tena? 🤣 🤣 🤣 🤣. Mnakwama wapi jamani? Kesi zinafunguliwa kwa version siku hizi!
Kimsingi hapa hakuna kesi ni uonevu tupu na ujingaMakamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu , amechambua mashitaka yaliyosomwa Mahakamani yanayomkabili Mwenyekiti wake Freeman Mbowe , huku akiyaita duni , mepesi na ya UONGO.
View attachment 1906115
Amedai ana uzoefu wa kutosha kwenye kesi za uzushi na uongo kama hii kutokana na kazi yake ya Uanasheria aliyoifanya kwa miaka mingi , ameahidi kushinda kesi hiyo ya kutunga mapema asubuhi .
Hebu msikilize mwenyewe ufaidi uhondo .
Kweli asee..Sikubaliani na TL.
..Ni kesi ngumu sana kwasababu mahakama zetu ni mali ya CCM.
Hatari sanaNdivyo zilivyo hizo nguruwe za bi Chokochoko, hazinaga staha kama mama yao wa teuzi.. MaCCM yote ni mapumbavu kabisa kabisa.
Kumbe unaelewa anything can come out? Basi usiidharau kesi.hujui kitu wewe, kwenye judiciary inayofanya kazi vizuri, hii si kesi hata kidogo. Sema kwa vile majaji wanapokea magizo anything can come out... ukiipeleka Kenya wanaifukuza nakwambia.