Tundu Lissu: Mashtaka dhidi ya Freeman Mbowe ni mepesi kuliko pamba, awaponda Waendesha Mashtaka


..kwani magufuli alikufa na mapolisi, mahakimu, na majaji, waliokuwa wakishirikiana naye kudhulumu wapinzani?
 
..kwani magufuli alikufa na mapolisi, mahakimu, na majaji, waliokuwa wakishirikiana naye kudhulumu wapinzani?
Nyie jamaa ndiyo maana mnaitwa nyumbu. Hata hamjui mpingacho Wala mkitakacho
 
Mkuu nikitaka kupata video yote naingia wapi? Very sorry
 
na alipokuja kufanya kampeni oda ya kuuwawa ilikuwa imeshatoka kabla akimbietena kwa kuhofia usalama wake!!!!
 
Maashtaka ya kupanga mauaji na mashtaka ya ugaidi, limechaguliwa neno zito...
 
hujui kitu wewe, kwenye judiciary inayofanya kazi vizuri, hii si kesi hata kidogo. Sema kwa vile majaji wanapokea magizo anything can come out... ukiipeleka Kenya wanaifukuza nakwambia.
Niliamini gaidi lazima awe katika kundi lenye watu wengi wenye nia ovu kama ya kwake na kwa mtu mmoja au watatu pekee hawawezi kuwa magaidi
 
yaani mtu bora ukose vyote kuliko kukosa akili ya kupambanua mambo yaani mnategemea ccm ife leo? yaani jihesabuni tu kuwa nyie ni wpinzani milele hamna sera hamna ushawishi kwa watu nani anawataka ?
Zezeta kabisa wewe .kwanini mnaiba kura ?kwanini hamtaki tume huru ya uchaguzi,kwa nini hamtaki katiba mpya? Kwa taarifa yako ccm inakufa 2026 mara baada ya kushinda uchaguzi 2025
 
Watu wa aina hiyo ndio CCM inawataka na waliwekeza kweli kweli kwa watu hao kwa mtaji wa ujinga. CCM ilipoona kuna jukwaa huru kama hili letu la JF, ikawamwaga humu...yaani unakutana na watu humu mpaka unajiuliza mara mbili tatu kama waliwahi hata kuwa na akili na kama walikuwa nazo wamezipotezea wapi?

Kwa kweli CCM walifanya research ya kutosha na wakawekeza kweli kweli katika ujinga, hebu pitia hii orodha...
  1. Kamanda Asiyechoka
  2. magu2016
  3. Ezekiel Mbaga
  4. Shujaa Mwendazake
  5. tutamkumbukamagu
  6. akilinene
  7. Bushesha jr
  8. JUMA JUMA
  9. Wakudadavuwa
  10. zandrano
  11. shamimuodd
  12. Redpanther
  13. GENTAMYCINE
  14. Jasusi Mbobezi
  15. Elitwege
  16. Idugunde
  17. Jumbe Brown
  18. johnthebaptist
  19. USSR
  20. Magonjwa Mtambuka
  21. Dr Akili
  22. Janjaweed
  23. mtanzania1989
  24. Phillipo Bukililo
  25. Mr Dudumizi
  26. digba sowey
  27. IDEGENDA
  28. Niza doyi
  29. Kivumishi Kielezi
  30. Gerald .M Magembe
  31. Jasusi Mbobezi
  32. Jay One
  33. Stuxnet
  34. Latvia
  35. Iboya2021
  36. Ritz
  37. mama D
  38. Psalm 23
  39. Shambaboy jogoli
  40. Pulchra Animo
  41. BUSH BIN LADEN
  42. No signal
  43. Lord OSAGYEFO
  44. fisi 2
  45. Naipendatz
  46. Ibambasi
  47. wababayangu
Orodha itaendelea kulingana na wanavyozidi kufyatuliwa...

Hawa kaa nao mbali kama ukoma, akili zao ziko stoo za CCM, zimehifadhiwa huko huko. Mara moja moja wanapewa kwa muda wazitumie lakini tatizo ni kwamba hakuna uhakika wa kupewa za kwako! Ndio maana kuna wakati hawaeleweki eleweki...inasikitisha!
 
Huyo USSR, hajawahi kuwa na akili, hajawahi kuchangia kitu chochote cha maana. Kungekuwa na jukwaa kwaajili ya watu wenye uwendawazimu, would be the right place for him. Here, he is misfit.
He is not he.
He whom you are referring to,is she.
 
Hawa ndio wale tunaita buku 7 fc
 
Binafsi nakupa pole kwa kupambana kufatilia maisha ya wanaume pia nakupa pole kwa kuendelea kufanywa chambo kwa ajili ya tumbo la mwanasiasa.
Namalizia kwa kusema 'na bado'
 
Haya majitu sasa hv mengine yameshaanza kugawanyika-Mengine yamegawanywa na udini wakati mwingine yanakosoana yenyewe kwa yenyewe.Maushung kawapiga sana baadhi counter attack kwenye tozo nahisi biashara zao za tigo pesa na Mpesa zimeferengwa akili zimeanza kurudi
 
Binafsi nmefurahi sana mana tangu nimejiunga jf cjawahi kuona mtu akini-mention hvy kwa huu ushoga wako wa kuniita hapa mm nmefurahi sana na nakuomba uendelee na moyo huo huo wa kufatilia mume za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…