johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tangu niliposkia habari zako nimekuweka ignore list
Attention seeker nitakupa attention unayotakaHata maana ya ignore list hujui
Umeulizwa kwani kavunja sheria gani hauna majibu unamanga manga tu.Tangu niliposkia habari zako nimekuweka ignore list
Wewe ndiye mpuuzi na wote tunakupuuza.Yani Tundu Lissu mgombea tarajiwa wa urais hajajiandikisha kwenye daftari la serikali za mitaa.
Nimesikia excuse yake ni kwamba anafatulia fidia zake za tigo.
Hivi wafuasi wa Chadema kweli mnaelewa upuuzi kama huu?
Lissu hajajiandikisha wala hatopiga kura na mpo mitandaoni kupoteza muda eti mna viongozi wa kuwatoa CCMWewe ndiye mpuuzi na wote tunakupuuza.
Huyo hana tofauti na Lucas MwashambwaHata maana ya ignore list hujui
Siku hizi kama simuelewi elewi huyu mastaTundu Lissu mbinafsi hajajiandikisha kupiga kura uchaguzi wa serikali za mitaa awapigie wengine waliogombea lakini 2025 atataka watu wampigie kura
Hii sio sawa. Ukitaka kupigiwa kura pia wapigie kura wengine. Kura yake muhimu yaweza badili matokeo
Sababa kagoma 2025 na yeye anyimwe kura ndio dawa yake ili aelewe umuhimu wa kura ya mtu
Pia soma:LGE2024 - Singida: Tundu Lissu aboresha Taarifa zake kwenye Daftari la Mpiga kura