LGE2024 Tundu Lissu mbinafsi, hajajiandikisha kupiga kura awapigie wengine lakini 2025 atataka watu wampigie kura

LGE2024 Tundu Lissu mbinafsi, hajajiandikisha kupiga kura awapigie wengine lakini 2025 atataka watu wampigie kura

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Yani Tundu Lissu mgombea tarajiwa wa urais hajajiandikisha kwenye daftari la serikali za mitaa.

Nimesikia excuse yake ni kwamba anafatulia fidia zake za tigo.

Hivi wafuasi wa Chadema kweli mnaelewa upuuzi kama huu?
Wewe ndiye mpuuzi na wote tunakupuuza.
 
Raia wa nchi ya kigeni kujiandikisha kupiga kura kwenye nchi nyingine ni kinyume cha sheria za uchaguzi. Anajua anaweza kushitakiwa mahakamani.
 
Tundu Lissu mbinafsi hajajiandikisha kupiga kura uchaguzi wa serikali za mitaa awapigie wengine waliogombea lakini 2025 atataka watu wampigie kura

Hii sio sawa. Ukitaka kupigiwa kura pia wapigie kura wengine. Kura yake muhimu yaweza badili matokeo

Sababa kagoma 2025 na yeye anyimwe kura ndio dawa yake ili aelewe umuhimu wa kura ya mtu

Pia soma:LGE2024 - Singida: Tundu Lissu aboresha Taarifa zake kwenye Daftari la Mpiga kura
Siku hizi kama simuelewi elewi huyu masta
 
Hivi kulikuwa na sababu zipi za msingi mpaka rulling ya mahakama kuu ya Tanzania kwamba si halali uchaguzi kusimamiwa na tamisemi kwa kuwa viongozi wake wakuu ni wateule wa mwenyekiti wa chama tawala hali inayosababisha conflict of interest na wakatoa pendekezo usimamiwe na tume ya uchaguzi ajabu wahusika wakaweka mizengwe sheria yake isitungwe na kanuni zake zikashindwa kuandaliwa hilo limetokea ili iweje kama sio ushetani.Mpaka watu wenye uelewa wanauona uchaguzi huu kama comedy
 
Back
Top Bottom