Pre GE2025 Tundu Lissu: Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yangu ili waniondoe, nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Acha kutisha watu, pumbavu
 
Kumbe ni kisasi sio kwamba anaweza,ila anawakomoa Mbowe na Wenje,hii kazi bado mbichi na ngumu,Chadema imefanya makosa
Kukomoa ni mojawapo make dhamira ya mbowe kumchomekea wenje ni ili amkomoe lissu, Sasa tofauti na kukomoa ila lissu katuweka wazi kuwa ruzuku itashuka Hadi huko wiliyani sio kuliwa tu na family ya mbowe, pia lissu kasema waz kile kipengele cha ukomo wa madaraka kilichonyofolewa na mbowe yeye atakirudisha. Sasa nyie vibaraka wa bwana mikonyagi mbona wagumu kuelewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…