Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu ni mtu wa kazi, anataja nyeupe ni nyeupe hakuna longo longoNarudia tena muda utaweka kila kitu sawa
TL anacheza mchezo na wafuasi wake... Time
Mbowe kachafua chama... you break it , you fix itWakuu
Tundu Lissu "Ninajua kuwa Mbowe ndiye aliyemtuma Wenje agombee nafasi ya Makamu Mwenyekiti nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma"
Pia, Soma:
Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA
Lissu: Mbowe ni muongo, tulifanya kikao cha siri kwa siku 3. Alikataa nisigombee Urais na Uenyekiti huku yeye akisema hajaamua
View attachment 3194129
Acha kutisha watu, pumbavuTundu tunza kauli kaka,
Siasa zina pande nyingi sana.... Unless ujiandae kuwa kama kina Che Guavara
Duniani sio kila kitu cha kusema kuna vingine vya kuzikwa navyo.
Hiyo grandiosity na self inflicted grandiosity haikufikishi popote...
Unataka kusema Wenje ana udogo gani kwenye siasa za CDM kukuliko?
Unakumbuka unachangisha mchango wa gari ni mwaka sasa hujafikisha mil 150? Jiulize tu kuna nini? Hawa washabiki kwanin huwaoni kwenye course zako?
maneno ya dr. slaa kuhusu huu mkutano huko club house yametimiaMpaka nione mwisho itakuwaje.Mola nijaalie pumzi.
Lissu ana chenchi zake kwenye hiyo saccos, mbowe lazima akabidhi saccos Kwa lissu ama laa kikoba kivunjike wahuni tusepe na kapu la hela!Lissu na yeye aanzishe cha familia yake if that is the case!!
Unaposema usalama wake unamaanisha nini?
Wafuasi mmeiva...Acha kutisha watu, pumbavu
Record ya kula pesa ya AbdulWafuasi mmeiva...
Narudia tupo hapa kuweka tu rekodi sawa
Siasa inahitaji mbinu na timing sio uwaziLissu ni mtu wa kazi, anataja nyeupe ni nyeupe hakuna longo longo
Pesa bei gani bwana....Record ya kula pesa ya Abdul
Lissu hataki hizo siasa maji taka halafu unajiita mpinzaniSiasa inahitaji mbinu na timing sio uwazi
Ni Lissu tu hakuna wa kumzuiaPesa bei gani bwana....
Sisi tupo mkuu, tunasubir parachichi lianguke tarehe 21..
Kukomoa ni mojawapo make dhamira ya mbowe kumchomekea wenje ni ili amkomoe lissu, Sasa tofauti na kukomoa ila lissu katuweka wazi kuwa ruzuku itashuka Hadi huko wiliyani sio kuliwa tu na family ya mbowe, pia lissu kasema waz kile kipengele cha ukomo wa madaraka kilichonyofolewa na mbowe yeye atakirudisha. Sasa nyie vibaraka wa bwana mikonyagi mbona wagumu kuelewa?Kumbe ni kisasi sio kwamba anaweza,ila anawakomoa Mbowe na Wenje,hii kazi bado mbichi na ngumu,Chadema imefanya makosa
We will stop him.Ni Lissu tu hakuna wa kumzuia
Sio na nusu lissu ni wanaume wawili kabisa, ni yeye pekee aliyethubutu kuonja sumu kwa kuilamba!Ila Lissu 😂😂😂 mwanaume na nusu.....
UBAYA UBWELA 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Wakuu
Tundu Lissu "Ninajua kuwa Mbowe ndiye aliyemtuma Wenje agombee nafasi ya Makamu Mwenyekiti nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma"
Pia, Soma:
Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA
Lissu: Mbowe ni muongo, tulifanya kikao cha siri kwa siku 3. Alikataa nisigombee Urais na Uenyekiti huku yeye akisema hajaamua
View attachment 3194129