Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,053
- 3,259
Jimbo la tundu lisu lina shule 15 tu ambazo zote hazina maabara, na mbunge wa jimbo hilo ''tundu lisu " ndie amekua mstari wa mbele kuwaimiza wananchi kutoa michango kwa ajili ya maendelea yao binafsi akidai kua serikali ina pesa za kutosha za kwajengea maabara.
Source: New star tv .
Ivi kweli kila jimbo likingoja mradi wa serikali kufika .. Kuutakua na maendelea nchi hii .
Jimbo la tundu lisu lina shule 15 tu ambazo zote hazina maabara, na mbunge wa jimbo hilo ''tundu lisu " ndie amekua mstari wa mbele kuwahimiza wananchi kutotoa michango kwa ajili ya maendelea yao binafsi akidai kua serikali ina pesa za kutosha za kwajengea maabara.
Source: New star tv .
Ivi kweli kila jimbo likingoja mradi wa serikali kufika .. Kuutakua na maendelea nchi hii .
duuuh div 5 once again at work.....maendeleo yanakuja kwa kupitia kodi znazokusanywa sio kuchangisha wananchi.....!!!
Hata hivyo srkl hii chakavu kila mwaka imekuwa ukichezea kodi za watu kwa ufisad...check CAG report kwa miaka 8 hv....!!!!
Ushauri: kabla hujapost kitu jaribu kujisomea ili ujue unachosema...ulichoandka n mambo za public finance kweny uchumi....justification of govt in the economy....!!!

Mtoa mada ni kichaa...serekali ya cdm inaongoza nchi...?
Hatuhitaji kuchangishwa, SERIKALI INA FEDHA NYINGI SANA, NA SEHEMU KUBWA YA FEDHA HIYO INATUMIWA KWENYE RUSHWA MBALIMBALI...Mmetumia ngapi uchaguzi wa kalenga?..je kuwahonga baadhi ya wajumbe wapumbavu wa bunge la katiba ili waunge mkono
kura ya wazi na kuunga mkono serikali 2?...hata wewe huna akili ya kutosha, jitafakari...
Jimbo la tundu lisu lina shule 15 tu ambazo zote hazina maabara, na mbunge wa jimbo hilo ''tundu lisu " ndie amekua mstari wa mbele kuwahimiza wananchi kutotoa michango kwa ajili ya maendelea yao binafsi akidai kua serikali ina pesa za kutosha za kwajengea maabara.
Source: New star tv .
Ivi kweli kila jimbo likingoja mradi wa serikali kufika .. Kuutakua na maendelea nchi hii .
duuuh div 5 once again at work.....maendeleo yanakuja kwa kupitia kodi znazokusanywa sio kuchangisha wananchi.....!!!
Hata hivyo srkl hii chakavu kila mwaka imekuwa ukichezea kodi za watu kwa ufisad...check CAG report kwa miaka 8 hv....!!!!
Ushauri: kabla hujapost kitu jaribu kujisomea ili ujue unachosema...ulichoandka n mambo za public finance kweny uchumi....justification of govt in the economy....!!!
ndiyooooooo nikweli wachangie maendeleo yao na kodi walipe kabisa tena mara dufu maana kule uswis tumetindikiwa kabisaa, na walipe kodi kabisa tena walipe nasema na maendeleo wajiletee sisi tutaipeleka kule uswisi mpaka akaunti zetu zijae na kusukwasukwa wakati muafaka ukifika tutakodisha shahada zao kupigia kura kwa muda wasiku moja kwa sh.2000. cash, tuta wapa ubwabwa na vitambaa vya njano na kijani hayo yote tata wafanyia ktk jina la erias!!!!! ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!! nimalizie kwa kusisitiza zaidi ndugu zanguni kulipa kodi ni wajibu wenu vivyo hivyo na kujiletea maedeleo ni wajibu wenu! toeni kodi kwa wingi ili lipate kuwepo salio kubwa hule uswis! kidumu chama cha "matunduzi" makofi jamani!hakuna mahali nimesema CDM inaongoza nchi ..
na kama haiongozi nchi basi haina maamlaka ya kuwakataza wananchi kujikwamua kimaendeleo kupitia michango binafsi ..
sidhani kama ni akili kuwahimiza wananchi kuacha kujichangisha pesa kwa maendeleo eti kisa serikali ina pesa . .. !
Hujui kuwa ni jukumu la ccm na serikali take kufanya hayo?... kod haztosh had Mchangishe na Mchanga michango tena.... wahisani vp mnazitumbua
.,kadidimiza maendeleo nyuma..??!! ..hiki kireno au kifaransa..!?
mwambie mkuu maana watu hawajui how government collect revenues to finance its expenditure