Tundu Lissu: Mbunge kinara wa kudidimiza maendeleo

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,053
Reaction score
3,259
Jimbo la Tundu Lissu lina shule 15 tu ambazo zote hazina maabara, na mbunge wa jimbo hilo ''Tundu Lissu " ndie amekuwa mstari wa mbele kuwahimiza wananchi kutotoa michango kwa ajili ya maendelea yao binafsi akidai kua serikali ina pesa za kutosha za kuwajengea maabara.

Source: New star tv .

Hivi kweli kila jimbo likingoja mradi wa serikali kufika .. Kuutakua na maendelea nchi hii .
 
Jimbo la tundu lisu lina shule 15 tu ambazo zote hazina maabara, na mbunge wa jimbo hilo ''tundu lisu " ndie amekua mstari wa mbele kuwaimiza wananchi kutoa michango kwa ajili ya maendelea yao binafsi akidai kua serikali ina pesa za kutosha za kwajengea maabara.
Source: New star tv .

Ivi kweli kila jimbo likingoja mradi wa serikali kufika .. Kuutakua na maendelea nchi hii .

Halafu wao kwenye mikutano yao wanatembeza bakuli.....sijui ruzuku haitoshi?
 
Hujui kuwa ni jukumu la ccm na serikali take kufanya hayo?... kod haztosh had Mchangishe na Mchanga michango tena.... wahisani vp mnazitumbua
 
Jimbo la tundu lisu lina shule 15 tu ambazo zote hazina maabara, na mbunge wa jimbo hilo ''tundu lisu " ndie amekua mstari wa mbele kuwahimiza wananchi kutotoa michango kwa ajili ya maendelea yao binafsi akidai kua serikali ina pesa za kutosha za kwajengea maabara.
Source: New star tv .

Ivi kweli kila jimbo likingoja mradi wa serikali kufika .. Kuutakua na maendelea nchi hii .

duuuh div 5 once again at work.....maendeleo yanakuja kwa kupitia kodi znazokusanywa sio kuchangisha wananchi.....!!!

Hata hivyo srkl hii chakavu kila mwaka imekuwa ukichezea kodi za watu kwa ufisad...check CAG report kwa miaka 8 hv....!!!!

Ushauri: kabla hujapost kitu jaribu kujisomea ili ujue unachosema...ulichoandka n mambo za public finance kweny uchumi....justification of govt in the economy....!!!
 
1.sijatoa kichwani kwangu ..ni malalamiko ya wananchi wa jimbo lake . (source ; star tv habari )

2. kabla ya kuwaambia waache kuchanga angewapa hiyo elimu unayoisema ww ,basi leo wananchi wangelalamika.

3. ninapoishi nipo karibu na shule ..na kupitia ofisi ya kata tu na bila hata mbunge kutia neno lake ,ofisi imefanikiwa kuchangisha wananchi na Maabara ya kisasa imejengwa,si hivyo tu madarasa yameongezwa ya kutosha mpaka mengine hayatumiki..iweje yeye azuie michango. ? .

sasa ww sijui unaongea nn .
 
Mtoa mada ni kichaa...serekali ya cdm inaongoza nchi...?
 
Hatuhitaji kuchangishwa, SERIKALI INA FEDHA NYINGI SANA, NA SEHEMU KUBWA YA FEDHA HIYO INATUMIWA KWENYE RUSHWA MBALIMBALI...Mmetumia ngapi uchaguzi wa kalenga?..je kuwahonga baadhi ya wajumbe wapumbavu wa bunge la katiba ili waunge mkono
kura ya wazi na kuunga mkono serikali 2?...hata wewe huna akili ya kutosha, jitafakari...
Jimbo la tundu lisu lina shule 15 tu ambazo zote hazina maabara, na mbunge wa jimbo hilo ''tundu lisu " ndie amekua mstari wa mbele kuwahimiza wananchi kutotoa michango kwa ajili ya maendelea yao binafsi akidai kua serikali ina pesa za kutosha za kwajengea maabara.
Source: New star tv .

Ivi kweli kila jimbo likingoja mradi wa serikali kufika .. Kuutakua na maendelea nchi hii .
 
Mtoa mada ni kichaa...serekali ya cdm inaongoza nchi...?

hakuna mahali nimesema CDM inaongoza nchi ..

na kama haiongozi nchi basi haina maamlaka ya kuwakataza wananchi kujikwamua kimaendeleo kupitia michango binafsi ..
sidhani kama ni akili kuwahimiza wananchi kuacha kujichangisha pesa kwa maendeleo eti kisa serikali ina pesa . .. !
 
Hatuhitaji kuchangishwa, SERIKALI INA FEDHA NYINGI SANA, NA SEHEMU KUBWA YA FEDHA HIYO INATUMIWA KWENYE RUSHWA MBALIMBALI...Mmetumia ngapi uchaguzi wa kalenga?..je kuwahonga baadhi ya wajumbe wapumbavu wa bunge la katiba ili waunge mkono
kura ya wazi na kuunga mkono serikali 2?...hata wewe huna akili ya kutosha, jitafakari...

Kwnye mikutano yenu huwa mnachangisha pessa . ,si ndio ,ile ni nn na inatoka kwa nani ,? je kama ni michango na inatoka kwa wananchi kwa ajili ya maendeleo ya chama ? ni kwann wao wasijichangishe kwa ajili ya maenndeleo yao . ?

Mmewafanya wananchi vichaa .. ivi kwli unawachangisha wananchi kwa ajili ya chama ,mda huohuo unawahubiria waache kujichangisha kwa maendeleo yao na wangoje serikali ... kweli .. ? jitafakari
nilishangaa pia CDM kuibuka videdea kwenye tuhuma za rushwa uchguzi mdogo kalenga .. tuyaache hayo kwasabu ni aibu kwenu mkiwa wahubir wakubwa kupinga Rushwa .
Kwa tuhuma hizo mmezidi kujishushia imani. ..
Kama za kwenu zinaenda kwenye rushwa halafu hamjioji ! je mna hallali ya kuwanyima wananchi kujichangisha.
 
H kitu hata mm nilisikia rfa..sasa km kuna ukweli watu wa iramba waje hapa watoe ya mayon
 
Jimbo la tundu lisu lina shule 15 tu ambazo zote hazina maabara, na mbunge wa jimbo hilo ''tundu lisu " ndie amekua mstari wa mbele kuwahimiza wananchi kutotoa michango kwa ajili ya maendelea yao binafsi akidai kua serikali ina pesa za kutosha za kwajengea maabara.
Source: New star tv .

Ivi kweli kila jimbo likingoja mradi wa serikali kufika .. Kuutakua na maendelea nchi hii .

Acha kuleta hoja za kijinga hapa jamvini.Mbona Jimbo la Chalinze lina mabanda mengi ya Mbuzi badala ya Shule?
 
jimbo la tundu lisu ndio linaongoza kwa umasikini tanzania, wapiga kura wake wanajuta kumchagua mgonjwa wa akili.
 
duuuh div 5 once again at work.....maendeleo yanakuja kwa kupitia kodi znazokusanywa sio kuchangisha wananchi.....!!!

Hata hivyo srkl hii chakavu kila mwaka imekuwa ukichezea kodi za watu kwa ufisad...check CAG report kwa miaka 8 hv....!!!!

Ushauri: kabla hujapost kitu jaribu kujisomea ili ujue unachosema...ulichoandka n mambo za public finance kweny uchumi....justification of govt in the economy....!!!

mwambie mkuu maana watu hawajui how government collect revenues to finance its expenditure
 
hakuna mahali nimesema CDM inaongoza nchi ..

na kama haiongozi nchi basi haina maamlaka ya kuwakataza wananchi kujikwamua kimaendeleo kupitia michango binafsi ..
sidhani kama ni akili kuwahimiza wananchi kuacha kujichangisha pesa kwa maendeleo eti kisa serikali ina pesa . .. !
ndiyooooooo nikweli wachangie maendeleo yao na kodi walipe kabisa tena mara dufu maana kule uswis tumetindikiwa kabisaa, na walipe kodi kabisa tena walipe nasema na maendeleo wajiletee sisi tutaipeleka kule uswisi mpaka akaunti zetu zijae na kusukwasukwa wakati muafaka ukifika tutakodisha shahada zao kupigia kura kwa muda wasiku moja kwa sh.2000. cash, tuta wapa ubwabwa na vitambaa vya njano na kijani hayo yote tata wafanyia ktk jina la erias!!!!! ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!! nimalizie kwa kusisitiza zaidi ndugu zanguni kulipa kodi ni wajibu wenu vivyo hivyo na kujiletea maedeleo ni wajibu wenu! toeni kodi kwa wingi ili lipate kuwepo salio kubwa hule uswis! kidumu chama cha "matunduzi" makofi jamani!
 
.,kadidimiza maendeleo nyuma..??!! ..hiki kireno au kifaransa..!?
 
Hujui kuwa ni jukumu la ccm na serikali take kufanya hayo?... kod haztosh had Mchangishe na Mchanga michango tena.... wahisani vp mnazitumbua

kuna siku mtaomba au kushauri chakula na nguo itanunua serikali. chanzo cha maendelro yako ni wewr mwenyewe.
 
.,kadidimiza maendeleo nyuma..??!! ..hiki kireno au kifaransa..!?

hiyo thread niliikosea na nilishaona makosa nikaiedit hata kabla hujayaona ..
iliyotokana na mara ya kwanza niliandika ' kurudisha maendeleo nyuma " nikwa naedit sikufuta na kubadilisha neno " kurudisha " na kuweka neno "kudidimiza" niliacha neno nyuma kwa bahati mbaya na hivyo kusomeka kimakosa .

ila tushukuru pia coz hicho ndicho ulichoona bora kuchangia .
 
mwambie mkuu maana watu hawajui how government collect revenues to finance its expenditure

watz wengi ni kweli hawalijui hilo .. je yeye kama mbunge alichukua njia gani mbadala juu ya hilo jabla ya kuwakataza kchangishana ? mpaka kufikia mahali waje kwenye media .?
je wengechangisha kwa kipindi chote hicho toka baada ya uchaguzi leo shule ngap zingekua na maabara kati ya hizi chache 15 , hatima yake moja hakuna yenye maabara.

embu sasa nakuomba apply hiyo elimu yako ya revenue to finance it expenditure hapo kwenye kuokoa miaka minne iliyopotea kwa hao wanchi walionyimea kujitengeneza revenue wenyewe kupitia collection zao.
 
Back
Top Bottom