BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Makamu Mwenyeki wa CHADEMA, Tundu Lissu ametoa taarifa za Michango ya Kununua Gari lake ambayo inatolewa na Wananchi ambapo amesema hadi sasa imefika zaidi ya Tsh. Milioni 104.
Lissu ameandika kupitia Mtandao wa ax (Twitter) kuwa
"Mchango Update Latest: Nilitoa update mara ya mwisho tarehe 13 Juni. Naomba radhi kwa kuwachelewesha sana. Hadi kufikia tarehe 31 Julai, takriban miezi miwili & nusu, mchango umefikia sh. 104,081,139 kutoka kwa wachangiaji 3,540. Wastani ni sh. 29,401 kwa mchangiaji. Nawashukuru!"
Pia soma: