Tundu Lissu: Michango ya Wananchi kwaajili ya kununua Gari langu imefika Tsh. 104,081,139

100m kuwe na hela chafu, unajua hela chafu ww?
EEEeeeenHEEeeee!
Ni swali zuri sana kwa huyo mtu na wengineo.
Tsh 100 million; hela chafu vipi, tena toka kwa wachangiaji wengi kiasi kile?
Mtu akahangaike kusafisha Tsh 30,000/ ili amchangie Tundu Lissu!
 
Nawapongeza wachangiaji ila nasikitika kuwa hiyo ndo reflection ya kura za CHADEMA zitakavyokuwa kwenye uchaguzi. Jinsi watu wachache walivyochangia ndo jinsi watu wachache watakavyokipigia kura CHADEMA. Kwenye wapiga kura 6m wa 2015 ni 3500 tu waliojitokeza kumchangia Lissu kununua gari lake la kifahari. Ni huzuni kwa Mbowe.
 
SUBUTU YAKE AACHE KUNYWA BIA ZAKE BARIDI ASHUGHULIKE NA MADAWATI, KIPIMO CHA - UZALENDO- HUWA KIDOGO SANA, HASA HUWA NI NIYA YAKO YA NDANI KATIKA KUJALI WENGINE WENYE MAHITAJI MUHIMU

..badala ya kununua gari la kinyesi mngenunua madawati ili watoto wasikae kwenye mavumbi.
 
then kuna wachangiaj wengine hawana hat baskel ila wanamchangia mtu anunue v8 jipya la milion mia3..wazir mkuu wa ufaransa nshawah kuona anatembelea gar ya kawaid sana na nchi ina uchum mkubwa nend viongoz wa afrika wanapenda highlyf san wanajenga ma mansion familia zao znaish vzur kwa pesa za walipa kod walala hoi kwan iyo milion 100 naa awez nnua tu d4d au amarock ya 60mil au haria new model ya 40mil akatembelea 😒
 
K
View attachment 3061592
Makamu Mwenyeki wa CHADEMA, Tundu Lissu ametoa taarifa za Michango ya Kununua Gari lake ambayo inatolewa na Wananchi ambapo amesema hadi sasa imefika zaidi ya Tsh. Milioni 104.

Lissu ameandika kupitia Mtandao wa ax (Twitter) kuwa

"Mchango Update Latest: Nilitoa update mara ya mwisho tarehe 13 Juni. Naomba radhi kwa kuwachelewesha sana. Hadi kufikia tarehe 31 Julai, takriban miezi miwili & nusu, mchango umefikia sh. 104,081,139 kutoka kwa wachangiaji 3,540. Wastani ni sh. 29,401 kwa mchangiaji. Nawashukuru!"
View attachment 3061597
Pia soma:

Kwani Mbowe hajachanga hata mil. 10.

Pesa zote anazotulia kwenye Chopa ni ili nini ?
Mbona Makonda hatumii chopa lakini watanzania wanamuelewa sana.

Chadema wanakosea sana siasa za chuki dhidi ya watetezi wa Wanyonge.

Lisu kila sentensi mbili anamtaja magufuli kwa kumponda . Huu ni upuuzi na kupoteza kura nyingi sana mana wananchi wanategemea aina mbili tu za uongozi kwa sasa; Magufulification na Suluhufication. Usipokua na aina ya uongozi wa JPM utaonekana ni wale wale wa kula kwa urefu wa Kamba ,hivyo wananchi 80% ambao ni wanyonge wataona ni heri aendelee na Samia wakimsubiri Makonda siku akiamua kuchukua fomu. Ila hata Makonda akichukua fomu kesho kama ni mzima wa afya basi atashinda kwa kishindo kikubwa sana kwa sababu ya Magufulification iliyoko ndani yake. Siasa ni saysansi ya kucheza na jamii na kuwin hisia zao. Tundu Lisu hajaiva kwenye sayansi ya Siasa .
Mwabukusi hana chama anachoweza kupitia na kugombea ila naye ni tishio kwa majizi na rafiki wa wanyonge.
 
Lisu hahitaji kumuiga Magufuli ili kupata kura. Makonda ni sawa kumuiga magufuli maana alifaidika na aina ya siasa za magufuli. Isitoshe wahesabu kura ndio wanaomua mshindi na sio kura za kwenye box. Ww na wengine mlioamini aina ya siasa za Magufuli msimpe kura Lisu maana hazihitaji.
 
Kwa hiyo viongozi wote wa CDM mtakuwa mnawachangia pesa wanunue magari Yao wakimaliza muda wao wanaenda nayo makwao wanaoingia wapya mnawachangia tena hii si ni biashara kichaa,kwanini michango isiende kwenye chama ionekane ni michango ya kununulia gari ya Makumu mwenyekiti ili liwe Mali ya chama,Pia LISU anaponda wenzake wantumia pesa nyingi kununua magari ya kifahari na mpaka Sasa amechangiwa zaidi ya milioni 100 kwani yeye ni mmoja wa viongozi wanaotoka magari ya kifahari wakati chama chao hata ofisi hawana wanajibanza kwenye vibanda vya mkaa na karakana za mafundi seremala OFISI YA CDM MKOA.
 
K

Kwani Mbowe hajachanga hata mil. 10.

Pesa zote anazotulia kwenye Chopa ni ili nini ?
Mbona Makonda hatumii chopa lakini watanzania wanamuelewa sana.

Chadema wanakosea sana siasa za chuki dhidi ya watetezi wa Wanyonge.

Lisu kila sentensi mbili anamtaja magufuli kwa kumponda . Huu ni upuuzi na kupoteza kura nyingi sana mana wananchi wanategemea aina mbili tu za uongozi kwa sasa; Magufulification na Suluhufication. Usipokua na aina ya uongozi wa JPM utaonekana ni wale wale wa kula kwa urefu wa Kamba ,hivyo wananchi 80% ambao ni wanyonge wataona ni heri aendelee na Samia wakimsubiri Makonda siku akiamua kuchukua fomu. Ila hata Makonda akichukua fomu kesho kama ni mzima wa afya basi atashinda kwa kishindo kikubwa sana kwa sababu ya Magufulification iliyoko ndani yake. Siasa ni saysansi ya kucheza na jamii na kuwin hisia zao. Tundu Lisu hajaiva kwenye sayansi ya Siasa .
Mwabukusi hana chama anachoweza kupitia na kugombea ila naye ni tishio kwa majizi na rafiki wa wanyonge.
Unyonge siyo sifa nzuri kamwe, yapaswa uanze kubadilika kuhusiana na dhana hii ya Unyonge
 
Nasikia mzee Mbowe kasafisha hela ya chama kupitia hii michango
Hizo habari za kishambenga huwa sina muda nazo. Waulize mashambenga wenzio ndio wanajua hayo.
 
Back
Top Bottom