EEEeeeenHEEeeee!100m kuwe na hela chafu, unajua hela chafu ww?
Mmmhh!..maskini Magufuli amekufa bila kuona Tundu Lissu akichangiwa namna hii.
..Magufuli alivyokuwa na moyo wa kutoa naamini angemchangia gari Tundu Lissu.
'Dhahabi hujaribiwa kwa moto'..Amina, tena Amina.
..sijui Lissu alimkosea nini Magu mpaka atume watu kumuua kwa namna ile.
SUBUTU YAKE AACHE KUNYWA BIA ZAKE BARIDI ASHUGHULIKE NA MADAWATI, KIPIMO CHA - UZALENDO- HUWA KIDOGO SANA, HASA HUWA NI NIYA YAKO YA NDANI KATIKA KUJALI WENGINE WENYE MAHITAJI MUHIMU
View attachment 3061592
Makamu Mwenyeki wa CHADEMA, Tundu Lissu ametoa taarifa za Michango ya Kununua Gari lake ambayo inatolewa na Wananchi ambapo amesema hadi sasa imefika zaidi ya Tsh. Milioni 104.
Lissu ameandika kupitia Mtandao wa ax (Twitter) kuwa
"Mchango Update Latest: Nilitoa update mara ya mwisho tarehe 13 Juni. Naomba radhi kwa kuwachelewesha sana. Hadi kufikia tarehe 31 Julai, takriban miezi miwili & nusu, mchango umefikia sh. 104,081,139 kutoka kwa wachangiaji 3,540. Wastani ni sh. 29,401 kwa mchangiaji. Nawashukuru!"
View attachment 3061597
Pia soma:
K
Kwani Mbowe hajachanga hata mil. 10.
Pesa zote anazotulia kwenye Chopa ni ili nini ?
Mbona Makonda hatumii chopa lakini watanzania wanamuelewa sana.
Chadema wanakosea sana siasa za chuki dhidi ya watetezi wa Wanyonge.
Lisu kila sentensi mbili anamtaja magufuli kwa kumponda . Huu ni upuuzi na kupoteza kura nyingi sana mana wananchi wanategemea aina mbili tu za uongozi kwa sasa; Magufulification na Suluhufication. Usipokua na aina ya uongozi wa JPM utaonekana ni wale wale wa kula kwa urefu wa Kamba ,hivyo wananchi 80% ambao ni wanyonge wataona ni heri aendelee na Samia wakimsubiri Makonda siku akiamua kuchukua fomu. Ila hata Makonda akichukua fomu kesho kama ni mzima wa afya basi atashinda kwa kishindo kikubwa sana kwa sababu ya Magufulification iliyoko ndani yake. Siasa ni saysansi ya kucheza na jamii na kuwin hisia zao. Tundu Lisu hajaiva kwenye sayansi ya Siasa .
Mwabukusi hana chama anachoweza kupitia na kugombea ila naye ni tishio kwa majizi na rafiki wa wanyonge.
Unyonge siyo sifa nzuri kamwe, yapaswa uanze kubadilika kuhusiana na dhana hii ya UnyongeK

hayo sasa niyakwako kafanyie kazi, wakati hela safi wewe hujachanga hata senti, unajua hela chafu wewe kamuulize raisi wa mawe na makalvatiJe wanajuaje kuwa hela ya michango husika kuna hela chafu?
Nasikia mzee Mbowe kasafisha hela ya chama kupitia hii michango100m kuwe na hela chafu, unajua hela chafu ww?
Lissu mwenyewe alisema chadema kuna hela chafu mkuuhayo sasa niyakwako kafanyie kazi, wakati hela safi wewe hujachanga hata senti, unajua hela chafu wewe kamuulize raisi wa mawe na makalvati
Hizo habari za kishambenga huwa sina muda nazo. Waulize mashambenga wenzio ndio wanajua hayo.Nasikia mzee Mbowe kasafisha hela ya chama kupitia hii michango