Tundu Lissu: Miradi mikubwa ya Hayati Magufuli ni majanga yajayo ya kiuchumi

Tundu Lissu: Miradi mikubwa ya Hayati Magufuli ni majanga yajayo ya kiuchumi

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Ameandika hivyo kupitia twitter:

Nimemsikiliza Prof. Mussa Assad kuhusu ufisadi katika taasisi za umma. Miradi mikubwa ya Magufuli, ndege za ATCL, SGR, Stiegler's Gorge, n.k., ni majanga yajayo ya kiuchumi. Namshauri Rais Samia kuunda Tume ya Uchunguzi kabla mambo hayajaharibika zaidi.
 
Huyo Lissu anajulikana kwa mihemuko....
akili yake bado ya kisekondari....
yy kila kitu cha Magu anapinga....
muda utatuambia ukweli....
Lissu ni wa kupuuza tu hana jipya...
tulimwambia, siku Magu akisepa na siasa zake zitakomea hapo.

Labda kama Lisu alianza siasa baaad ya Magufuli kuwa rais, hapo ndio siasa zake zinaweza kufikia mwisho?
 
Huyo Lissu anajulikana kwa mihemuko....
akili yake bado ya kisekondari....
yy kila kitu cha Magu anapinga....
muda utatuambia ukweli....
Lissu ni wa kupuuza tu hana jipya...
tulimwambia, siku Magu akisepa na siasa zake zitakomea hapo.
Wa kupuuzwa ni wewe ambaye una attack personality badal ya ku attack hoja!
 
Ndege za ATCL ziuzwe, miradi mengine yote iendelee kwa uwazi zaidi na watafute njia bora za kupata pesa kuiendeleza hadi mwisho
Sahau hilo jambo! Labda maboresho ya uendeshaji, aina ya ndege za kutumia na idadi yake. Si zaidi ya hapo.
 
SAMIA AJICHUNGUZE MWENYEWE NA CCM YAKE? you are not srious broo!
 
Ameandika hivyo kupitia twitter:

Nimemsikiliza Prof. Mussa Assad kuhusu ufisadi katika taasisi za umma. Miradi mikubwa ya Magufuli, ndege za ATCL, SGR, Stiegler's Gorge, n.k., ni majanga yajayo ya kiuchumi. Namshauri Rais Samia kuunda Tume ya Uchunguzi kabla mambo hayajaharibika zaidi.

Wao si wamesusa? Asubiri tume huru na katiba mpya then aje kutupa ushauri ila kwa sasa waendelee kususa
 
Huyo Lissu anajulikana kwa mihemuko....
Labda wewe utuambie ni vitu vingapi Magufuli kafeli na watu walimpinga mapema kabisa ila hakukubali

Korosho:- Aliingilia ununuzi wa korosho akapeleka jeshi nadhani unajua nn kilitokea

PSSSF:- Aliunganisha mifuko ya mafao akaleta kikokotoo hapa pia unajua nini kilitokea

ATCL:- Hapa ripoti ya CAG inatosha kutasimini (japo mnatuaminisha imechakachuliwa)

UDART:-Huu mradi PM Majaliwa anazinguka mbuyu ila tatizo lilikuwa serikarini, waliamua kumharasi kwa makusudi mwekezaji Kisena mara kesi za uhujumu uchumi mara washikilie mabasi bandarini kisa kodi TRA
 
Back
Top Bottom