Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Huyo Lissu anajulikana kwa mihemuko....
akili yake bado ya kisekondari....
yy kila kitu cha Magu anapinga....
muda utatuambia ukweli....
Lissu ni wa kupuuza tu hana jipya...
tulimwambia, siku Magu akisepa na siasa zake zitakomea hapo.
The law of diminishing return ina apply hapa siasa zake zimefika ukingoni. Asanteni kwa kujaLabda kama Lisu alianza siasa baaad ya Magufuli kuwa rais, hapo ndio siasa zake zinaweza kufikia mwisho?
Ichunguze ufisadi kwenye miradi!Hiyo tume imchunguze nani?
The law of diminishing return ina apply hapa siasa zake zimefika ukingoni. Asanteni kwa kuja
Wa kupuuzwa ni wewe ambaye una attack personality badal ya ku attack hoja!Huyo Lissu anajulikana kwa mihemuko....
akili yake bado ya kisekondari....
yy kila kitu cha Magu anapinga....
muda utatuambia ukweli....
Lissu ni wa kupuuza tu hana jipya...
tulimwambia, siku Magu akisepa na siasa zake zitakomea hapo.
Sahau hilo jambo! Labda maboresho ya uendeshaji, aina ya ndege za kutumia na idadi yake. Si zaidi ya hapo.Ndege za ATCL ziuzwe, miradi mengine yote iendelee kwa uwazi zaidi na watafute njia bora za kupata pesa kuiendeleza hadi mwisho
Ameandika hivyo kupitia twitter:
Nimemsikiliza Prof. Mussa Assad kuhusu ufisadi katika taasisi za umma. Miradi mikubwa ya Magufuli, ndege za ATCL, SGR, Stiegler's Gorge, n.k., ni majanga yajayo ya kiuchumi. Namshauri Rais Samia kuunda Tume ya Uchunguzi kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Ndege za ATCL ziuzwe, miradi mengine yote iendelee kwa uwazi zaidi na watafute njia bora za kupata pesa kuiendeleza hadi mwisho
Labda wewe utuambie ni vitu vingapi Magufuli kafeli na watu walimpinga mapema kabisa ila hakukubaliHuyo Lissu anajulikana kwa mihemuko....