Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Mkimchagua Magufuli, ana lengo la kubadili Katiba kuondoa ukomo wa vipindi vya kutawala

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Mkimchagua Magufuli, ana lengo la kubadili Katiba kuondoa ukomo wa vipindi vya kutawala

Kwanini kule chadema kila anayegombea uenyekiti anafukuzwa au kuhama au kufariki? Kwanini asianze ndani ya chama chake kuleta huo Uhuru, demokrasia na ukomo wa uongozi ndo aje atoe shutuma zisizo na ushahidi ambazo ni za kudhania tuu kwamba eti Magufuli atabadilisha katiba aongoze Kama Mbowe.
Aache kuropoka Mambo ya kubuni.
Ndugai alisema na hilo halina mjadala, Magufuli amekuwa na shauku ya kukatalia madarakani na ndio maana hakupinga kauli hiyo ya Ndugai. That's the fact.
 
Kwa style hii ya kuongea ongea vitu visivyokua na uthibitisho wala uhakika na kulalamikia kila kinachotendeka au kutokea kwamba wanaonewa ni wazi upinzani wa Chadema hauwezi wafikisha popote.
Au niseme kwa hayo Chadema wanaonekana kutokukomaa kisiasa, hawana ukomavu kwenye uongozi wala utendaji. Hawawezi kusimamia kitu wanachokiamini wao wenyewe na kukitekeleza, wanatumia kauli za kijanjajanja na kubadilisha maneno pamoja na kuwajaza wafuasi wao hisia za hofu katika kufanya maamuzi yanahusu maslahi ya taifa.
 
Mgombea Uraisi kupitia Chama cha Chadema ndugu Tundu Lissu, amewaasa wananchi wa Bagamoyo kuwa, Magufuli ana lengo la kubadili ukomo wa vipindi vya utawala na ndiyo maana Hilo Suala lilizungumzwa bungeni na Spika Ndugai.

Lissu akawaambia wananchi kuwa, Ndugai asingeweza yeye binafsi kulizungumza hilo bila kufahamu kinachoendelea kwenye mipango ya Magufuli.

Lissu akawaambia wananchi kuwa, wafikirie hali ngumu za maisha, ukatili na uonevu uliotokea katika kipindi hiki cha miaka mitano halafu eti Magufuli aongezewe miaka mingine.

Lissu amesema, serikali ya Chadema itakuwa ni serikali ya Haki, Uhuru na Maendeleo. Itakuwa serikali itakayoheshimu watu tofauti na hii ya Magufuli yenye kudhalilisha watu hususan wanawake.

Lissu akasema kujenga miundo mbinu siyo hoja ya kunyima haki za watu kama vile nyongeza za mishahara zilizoko kisheria. Akasema kuwa hata mkooni alijenga reli, lakini hiyo haikuwa sababu ya kwa nini Tusimpinge, Akasema kuwa tulimpinga mkoloni kwa sababu hakuwa anatutendea HAKI.

Lissu akasema kuwa Nyerere alijenga reli ya TAZARA, tena ndefu zaidi lakini hakudhulumu stahiki za wafanyakazi

Kwa taarifa zaidi juu ya hoja nzito za Lissu tazama video hii

Mbona Raisi John Pombe Magufuli mara kwa mara amekataa kata kata ombi au hoja hadharani kuwa hatasongeza hata dakika mmoja .Labda Lissu umelishwa porojo zisizo na mashiko wakati ukiwa huko kwa mtawala wazamani wa Congo Lepoldiville
 
Mgombea Urais kupitia Chama cha Chadema ndugu Tundu Lissu, amewaasa wananchi wa Bagamoyo kuwa, Magufuli ana lengo la kubadili ukomo wa vipindi vya utawala na ndiyo maana Hilo Suala lilizungumzwa bungeni na Spika Ndugai.

Lissu akawaambia wananchi kuwa, Ndugai asingeweza yeye binafsi kulizungumza hilo bila kufahamu kinachoendelea kwenye mipango ya Magufuli.

Lissu akawaambia wananchi kuwa, wafikirie hali ngumu za maisha, ukatili na uonevu uliotokea katika kipindi hiki cha miaka mitano halafu eti Magufuli aongezewe miaka mingine.

Lissu amesema, serikali ya Chadema itakuwa ni Serikali ya Haki, Uhuru na Maendeleo. Itakuwa serikali itakayoheshimu watu tofauti na hii ya Magufuli yenye kudhalilisha watu hususan wanawake.

Watu kama lissu na chadema ndio nchi zingine wanasababisha ukosefu wa amani vita na mauaji. Tumshukuru mungu kwa umoja wetu imara japo tunapita majaribio magumu ili kuwakosesha adui zetu sababu ya kutuingilia uhuru wetu.
Vibaraka wenye tamaa ya pesa na ukuu kama lissu na ambao wamebwaga mioyo yao kuwaabudu wazungu ni watu hatari sana. Msomi mwenye shahada mbili kama lissu anakuta anamsujudia na kumwamini dereva wa taxi mbeljiji kwa kua ni mzungu. Ndio maana unaona lissu anazungumza na kufanya mbinu za kijinga ambazo mabeberu wanafurahia maana lao ni kutunyonya uchumi wetu.
 
Na sisi, tuko wengi. Hatutaki udikteta katika nchi hii.
Wapo wengi tu waliowahi kujifariji Kama wewe kuwa mpo wengi,ila walivyokamatwa, hakuna hata mmoja aliejitokeza kupambana kwaajili yao,zaidi ya kulalamika tu huku mitandaoni bila vitendo.Hebu jaribu kufikiria mtu Kama Mdude , Kuna yeyote ambae bado anamzungumzia humu🤔?
Mkuu tafutia ridhiki familia yako, haya ya kumpambania wanasiasa ili akale yeye na familia yake, ni kunitoa fahamu tu.🙏
 
Ni kweli kabisa jiwe ana mpango wa kujiongezea madaraka.

2015-2020
Alikuwa na lengo kuu la kuua na kufuta upinzania kwa
:kuzuia mikutano ya kisiasa.
:kuzuia shughuli zote za kisiasa.
:kuzuia aandamano ha kisiasa.
Kupiga risasi wapinzani.
:kuteka.
:kuzuia habari za wapinzani kurushwa.
:kuzupitishwa kwa ccm bila kupingwa.
:Uhuni wa selikali zamitaa.

MWAMBIENI UPINZANI UPO KWENYE MIOYO YA WATU SIO KWENYE VYAMA.
HUWEZI KUUA UPINZANI.
 
TOO MUCH LIES
Halafu wanalalamika kuwa vyombo vya habari hawaandiki habari zao

Jana tu walitoa press release kuwa TCAA imezuia Helukopta kuruka kwa sababu zisizoeleweka!!! Nashukuru press waka wa ignore wakijua hawako reliable taarifa zao wakaenda TCAA wenyewe wakaambiwa rubani mrusha helikopta kapita umri wa kisheria na hilo ndilo likatangazwa TV zote lile la uongo likatupiliwa Mbali

Kifupi chadema wamepoteza Truth Reliability kwenye media tofauti na enzi za Dr Slaa.Alikuwa akiongea anashusha ushahidi wa ukweli na uhakika usio na chembe ya shaka
Kiasi kuwa media policies hazihangaiki my counter check wanajua kuwa alichotamka kiko sahihi

Lisu sio presidential material anaongea vitu vya kuokoteza na kutunga kama mswahili tu wa mtaani
Eti kwamba anaiamini zaidi kauli ya ndugai kuliko ya magufuli mwenyewe ambaye amekuwa akisisitiza kuiheshimu katiba katika kuongoza..

Kwamba ameanza kumuamini sana ndugai..ila ndugai akimueleza yeye ukweli anakuja juu..
 
Ghadafi alipindua nchi, wa kwetu aliingia kidemokrasia baada ya wenzie kuheshimu vipindi vya ukomo na yeye aheshimu vipindi vya ukomo

Asitulazimishie tuje tumtoe kwa njia ambazo walibya walivyomtoa Ghadafi
Ghadafi aliondolewa kwa uchochezi na msaada wa "mabeberu" sasa na nyinyi mtachochewa na kusaidiwa na "beberu"
 
Huu ni ukweli mchungu, spika ndugai kabla bunge kuisha alisema atake astake watamuongezea, magufuli wakati katoka kuchukua form dodoma alimtambulisha ndugai kama spika atakaeendelea na uspika uchaguzi ukipita..

Watamuongezea atake astake

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Alikuwa mbaguzi alipendelea watu wa kabila lake tu ndiyo aliwapa maisha mazuri ndiyo maana walimpasua. Madikteta siyo wa kuwachekea hata kidogo
Waulize baada ya kumpasua sasa hivi wanaishijeLibya.
Mzee atamaliza 5 yake atawaachia wengine.
 
Coming from a ‘pathological liar’ halafu mbona viongozi wajuu wa CDM hawapo nae kwa sana au washamshtukia kuna kitu hakiko sawa upstairs.
 
Hizi kauli aliongeaga enzi za jk kipindi hicho ananywea bia hadi chooni..huku simu za posho na marupurupu ya kibunge zikimsumbua.

Sasa anaamka anaanza kukana maneno yake..huyo ndio mtu anayetafuta urais wa nchi..labda awe rais wa chachavita( chama cha viwete tanzania)
tapatalk_1564638877470.jpg
 
Mbona Raisi John Pombe Magufuli mara kwa mara amekataa kata kata ombi au hoja hadharani kuwa hatasongeza hata dakika mmoja .Labda Lissu umelishwa porojo zisizo na mashiko wakati ukiwa huko kwa mtawala wazamani wa Congo Lepoldiville
Amesikia sana ila anafanya makusudi ndio maana watu na vyombo vya habari vinazidi kumpuuza..hivi unaweza kuandika au kurusha maneno ya udaku kama hayo..

Na yeye tukisema katumwa ili agombee na hatimaye akipita mabeberu waje kuendeleza ubebaji wa rasilimali itakuwaje..? Yaani magufuli asimame aseme tundulissu katumwa tuna uhakika wa blah blah blah
 
Kwa style hii ya kuongea ongea vitu visivyokua na uthibitisho wala uhakika na kulalamikia kila kinachotendeka au kutokea kwamba wanaonewa ni wazi upinzani wa Chadema hauwezi wafikisha popote.
Au niseme kwa hayo Chadema wanaonekana kutokukomaa kisiasa, hawana ukomavu kwenye uongozi wala utendaji. Hawawezi kusimamia kitu wanachokiamini wao wenyewe na kukitekeleza, wanatumia kauli za kijanjajanja na kubadilisha maneno pamoja na kuwajaza wafuasi wao hisia za hofu katika kufanya maamuzi yanahusu maslahi ya taifa.
Umechora chora
 
Mgombea Urais kupitia Chama cha Chadema ndugu Tundu Lissu, amewaasa wananchi wa Bagamoyo kuwa, Magufuli ana lengo la kubadili ukomo wa vipindi vya utawala na ndiyo maana Hilo Suala lilizungumzwa bungeni na Spika Ndugai.

Lissu akawaambia wananchi kuwa, Ndugai asingeweza yeye binafsi kulizungumza hilo bila kufahamu kinachoendelea kwenye mipango ya Magufuli.

Lissu akawaambia wananchi kuwa, wafikirie hali ngumu za maisha, ukatili na uonevu uliotokea katika kipindi hiki cha miaka mitano halafu eti Magufuli aongezewe miaka mingine.

Lissu amesema, serikali ya Chadema itakuwa ni Serikali ya Haki, Uhuru na Maendeleo. Itakuwa serikali itakayoheshimu watu tofauti na hii ya Magufuli yenye kudhalilisha watu hususan wanawake.

Lissu akasema kujenga miundo mbinu siyo hoja ya kunyima haki za watu kama vile nyongeza za mishahara zilizoko kisheria. Akasema kuwa hata mkooni alijenga reli, lakini hiyo haikuwa sababu ya kwa nini Tusimpinge, Akasema kuwa tulimpinga mkoloni kwa sababu hakuwa anatutendea HAKI.

Lissu akasema kuwa Nyerere alijenga reli ya TAZARA, tena ndefu zaidi lakini hakudhulumu stahiki za wafanyakazi

Kwa taarifa zaidi juu ya hoja nzito za Lissu tazama video hii

Ni dalili za kibaraka kuishiwa sera, na ataongea porojo nyingi kipindi chote kilichobaki
 
Coming from a ‘pathological liar’ halafu mbona viongozi wajuu wa CDM hawapo nae kwa sana au washamshtukia kuna kitu hakiko sawa upstairs.
Ya msingi wanayompangia akaongee sio anayoongea akifika jukwaani..kiasili jamaa ni mbishi na dikteta..anamuona kila mtu hajui kitu..
Anaona anachoongea yeye ndio kipo sahihi..kiufupi ye yupo kiugomvi zaidi wenzie wako kikampeni..ndio maana wamemuacha..

Uchaguzi ukiisha atarudi ubelgiji alipoiacha familia yake..wenzie familia zao zipo huku..hawana makazi ubelgiji. .kwa hiyo lazima wapambane.
 
Hiyo mipango ya Magufuri inajulikana sana , maana Magufuri haishi mbinguni .Ndio maana kapeleka jeshi kutisha raia Zanzibar , kapeleka maafisa vipenyo tume ya uchaguzi Zanzibar , kaagiza kukatwa wagombea wa Act Pemba ,hiyo yote Ni kutafuta theluthi moja iliaweze kubadili katiba .Hili amelijaribu Sana mwanzo alimtuma Nkamia , baadaye yule mbunge mropokaji wa Nkasi raia wa Yemen Kessy , kifupi sisi raia ndio waamuzi ndio wenye mamlaka hatutakubali .
IMG_20200910_181034_6.jpg
IMG_20200910_151541.jpg
 
Tanzania inahitaji mtu kama Lisu nyakati hizi.anasema ukweli mtupu
 
Back
Top Bottom