Unatatua kero wakati wa kampeni, hiyo ni rushwa.Ngoja kampeni zianze ndio wapinzani mtaelewa ni kwa namna gani Magu anakubalika.
Wakati mnaangaika na character assassination, mwenzenu yupo na kutatua kero za wapiga kura.
Huku Lissu ambae anapoongea hata mtoto mdogo anaweza hitimisha ni chuki binafsi tu; kule Membe mwanasiasa ambae hana public speaking skills yule sidhani kama wapiga kura wanaweza sikiliza speech yake kwa nusu saa tu (labda Zitto ndio amfanyie hiyo kazi).
Kumbe unamjua Lisu kwa uzushi!Akiongea na wananchi(probably mkoani Dodoma), Lissu amedai tunapombiwa tumekombolewa, tuelewe mpaka kufikia April ya mwaka huu, serikali ilikuwa imekopa jumla ya shilingi trilioni 40 na bilioni 500 kutoka kwa mabeberu.
Hii figure ni kubwa mno na huenda Lissu kakosea/kapewa taarifa siyo sahihi.
Namdi Azikiwe. (@NamdiAzikiwe) on Twitter
Kukopa nako kunahitaji financial consideration sio unakopa tu, utauzwa.kwa kutazama kwa jicho la Tatu ..kwa hoja yake inadhihirisha kuwa tunakopesheka!...kuna nchi hazina sifa hata ya kukopa USD 1m
Sio kila mtu Ni mwananchi wa kawaida,kuna wasomi pia, Hawa wanahitaji data na takwimu,Hawa pia ni wapigakura,miongoni mwao Ni waalimu na wanafunzi wa higher leaning institution,wafanyakazi wa maofisini,wafanyabiashara wakibwa na wadogo wenye uelewa wa mambo hayo.Mwananchi wa kawaida ukimwambia umekopa sijui tunadaiwa hakuelewi
Mwambie utamsaidia vipi kumsafirishia mazao yake au kumpa bei nzuri
Kukopa nako kunahitaji financial consideration sio unakopa tu, utauzwa.kwa kutazama kwa jicho la Tatu ..kwa hoja yake inadhihirisha kuwa tunakopesheka!...kuna nchi hazina sifa hata ya kukopa USD 1m
Mazao yake yatasafirishwaje kama nchi ina madeni kiasi hicho we mburula? Mwananchi ni lazima aelezwe ukweli jinsi anavyo nyongwa , na hii serikali yake inayojiita ya wanyonge.Mwananchi wa kawaida ukimwambia umekopa sijui tunadaiwa hakuelewi
Mwambie utamsaidia vipi kumsafirishia mazao yake au kumpa bei nzuri
Wewe hujamalizia sentensi yako,Sema tumekopa kwa MABEBERU.Tunaambiwa reli na bwawa la umeme tunajenga kwa pesa zetu za ndani kumbe tumekopa na walipaji ni sisi.
ππππWewe hujamalizia sentensi yako,Sema tumekopa kwa MABEBERU.
Shida Ni kwamba Tuliambiwa tunajenga miundombinu kwa fedha zetu.kumbe fix.kwa kutazama kwa jicho la Tatu ..kwa hoja yake inadhihirisha kuwa tunakopesheka!...kuna nchi hazina sifa hata ya kukopa USD 1m
Dada zangu jitahidini kuwa waelewa, hilo deni ni sahihi kabisa ndani ya miaka mitano, hesabu ndogo tirion 8 mara miaka mi5 = 40, bajet kwa mwaka tirion ishirin na, mapato kwa mwaka haizidi tirion 12....mbona uwezekano wa kukopa upo waziHapa Lisu katoa Boko!
Hatujakopa fedha zote hizo!
Aliyempa data hizi Lissu kamlisha kasa, inabidi kitengo cha takwimu na data cha Chadema kifanye homework yake vizuri au msoma takwimu mwenyewe awe makini kwenye kusoma data
hakutasalia jiwe juu ya jiwe.Akiongea na wananchi(probably mkoani Dodoma), Lissu amedai tunapombiwa tumekombolewa, tuelewe mpaka kufikia April ya mwaka huu, serikali ilikuwa imekopa jumla ya shilingi trilioni 40 na bilioni 500 kutoka kwa mabeberu.
Hii figure ni kubwa mno na huenda Lissu kakosea/kapewa taarifa siyo sahihi.
Namdi Azikiwe. (@NamdiAzikiwe) on Twitter
Kutumikia watanzania ndio ya kazi ya raisi.Unatatua kero wakati wa kampeni, hiyo ni rushwa.
ππππππau mwanaharakati huruHii ataachiwa Dr Bashiru she na vijembe.
Ila kumuongopea kuwa wewe ni kiongozi bora hukopi kwa mabeberu, ndio kumsaidia?Mwananchi wa kawaida ukimwambia umekopa sijui tunadaiwa hakuelewi
Mwambie utamsaidia vipi kumsafirishia mazao yake au kumpa bei nzuri
nakwambia mkuu siasa za mwaka huu tamu yani mtoto hatumwi sokoni da mungu ebu nipe afya njema fika 28 octTunaambiwa reli na bwawa la umeme tunajenga kwa pesa zetu za ndani kumbe tumekopa na walipaji ni sisi.
Kukopa lazima Lakini tuambie ukweli watanzania sio kutufanya watoto Kuwa tunajenga kwa pesa zetu za ndani wakati ni uongo asilimia mia moja hapo ndipo kwenye tatizoKwaiyo lissu anataka kutuambia akichaguliwa kuwa rais wa JMT hatakuja wai kukopa?