Unatatua kero wakati wa kampeni, hiyo ni rushwa.Ngoja kampeni zianze ndio wapinzani mtaelewa ni kwa namna gani Magu anakubalika.
Wakati mnaangaika na character assassination, mwenzenu yupo na kutatua kero za wapiga kura.
Huku Lissu ambae anapoongea hata mtoto mdogo anaweza hitimisha ni chuki binafsi tu; kule Membe mwanasiasa ambae hana public speaking skills yule sidhani kama wapiga kura wanaweza sikiliza speech yake kwa nusu saa tu (labda Zitto ndio amfanyie hiyo kazi).