Tundu Lissu: Mnapoambiwa tumekombolewa, mjue ndani ya miaka 5 tumekopa zaidi ya trilioni 40 na bilioni 500 kutoka kwa mabeberu

Tundu Lissu: Mnapoambiwa tumekombolewa, mjue ndani ya miaka 5 tumekopa zaidi ya trilioni 40 na bilioni 500 kutoka kwa mabeberu

Ngoja kampeni zianze ndio wapinzani mtaelewa ni kwa namna gani Magu anakubalika.

Wakati mnaangaika na character assassination, mwenzenu yupo na kutatua kero za wapiga kura.

Huku Lissu ambae anapoongea hata mtoto mdogo anaweza hitimisha ni chuki binafsi tu; kule Membe mwanasiasa ambae hana public speaking skills yule sidhani kama wapiga kura wanaweza sikiliza speech yake kwa nusu saa tu (labda Zitto ndio amfanyie hiyo kazi).
Unatatua kero wakati wa kampeni, hiyo ni rushwa.
 
Akiongea na wananchi(probably mkoani Dodoma), Lissu amedai tunapombiwa tumekombolewa, tuelewe mpaka kufikia April ya mwaka huu, serikali ilikuwa imekopa jumla ya shilingi trilioni 40 na bilioni 500 kutoka kwa mabeberu.

Hii figure ni kubwa mno na huenda Lissu kakosea/kapewa taarifa siyo sahihi.

Namdi Azikiwe. (@NamdiAzikiwe) on Twitter
Kumbe unamjua Lisu kwa uzushi!
 
Mwananchi wa kawaida ukimwambia umekopa sijui tunadaiwa hakuelewi
Mwambie utamsaidia vipi kumsafirishia mazao yake au kumpa bei nzuri
Sio kila mtu Ni mwananchi wa kawaida,kuna wasomi pia, Hawa wanahitaji data na takwimu,Hawa pia ni wapigakura,miongoni mwao Ni waalimu na wanafunzi wa higher leaning institution,wafanyakazi wa maofisini,wafanyabiashara wakibwa na wadogo wenye uelewa wa mambo hayo.
 
Mwananchi wa kawaida ukimwambia umekopa sijui tunadaiwa hakuelewi
Mwambie utamsaidia vipi kumsafirishia mazao yake au kumpa bei nzuri
Mazao yake yatasafirishwaje kama nchi ina madeni kiasi hicho we mburula? Mwananchi ni lazima aelezwe ukweli jinsi anavyo nyongwa , na hii serikali yake inayojiita ya wanyonge.
 
Hapa Lisu katoa Boko!

Hatujakopa fedha zote hizo!

Aliyempa data hizi Lissu kamlisha kasa, inabidi kitengo cha takwimu na data cha Chadema kifanye homework yake vizuri au msoma takwimu mwenyewe awe makini kwenye kusoma data
Dada zangu jitahidini kuwa waelewa, hilo deni ni sahihi kabisa ndani ya miaka mitano, hesabu ndogo tirion 8 mara miaka mi5 = 40, bajet kwa mwaka tirion ishirin na, mapato kwa mwaka haizidi tirion 12....mbona uwezekano wa kukopa upo wazi
 
Akiongea na wananchi(probably mkoani Dodoma), Lissu amedai tunapombiwa tumekombolewa, tuelewe mpaka kufikia April ya mwaka huu, serikali ilikuwa imekopa jumla ya shilingi trilioni 40 na bilioni 500 kutoka kwa mabeberu.

Hii figure ni kubwa mno na huenda Lissu kakosea/kapewa taarifa siyo sahihi.

Namdi Azikiwe. (@NamdiAzikiwe) on Twitter
hakutasalia jiwe juu ya jiwe.

asante Tundu Lissu.
JPM sasa kapata size yake na nusu..... hahaaaa!
 
Unatatua kero wakati wa kampeni, hiyo ni rushwa.
Kutumikia watanzania ndio ya kazi ya raisi.

Katiba aisemi kuelekea uchaguzi raisi kama anagombea tena ajivue mamlaka yake na wala asitekeleze majukumu yake.

Unasikiliza longo longo za Lissu sana.
 
Mwananchi wa kawaida ukimwambia umekopa sijui tunadaiwa hakuelewi
Mwambie utamsaidia vipi kumsafirishia mazao yake au kumpa bei nzuri
Ila kumuongopea kuwa wewe ni kiongozi bora hukopi kwa mabeberu, ndio kumsaidia?
 
Tunaambiwa reli na bwawa la umeme tunajenga kwa pesa zetu za ndani kumbe tumekopa na walipaji ni sisi.
nakwambia mkuu siasa za mwaka huu tamu yani mtoto hatumwi sokoni da mungu ebu nipe afya njema fika 28 oct
 
Kwaiyo lissu anataka kutuambia akichaguliwa kuwa rais wa JMT hatakuja wai kukopa?
Kukopa lazima Lakini tuambie ukweli watanzania sio kutufanya watoto Kuwa tunajenga kwa pesa zetu za ndani wakati ni uongo asilimia mia moja hapo ndipo kwenye tatizo
 
Back
Top Bottom