Tundu Lissu: Mnapoambiwa tumekombolewa, mjue ndani ya miaka 5 tumekopa zaidi ya trilioni 40 na bilioni 500 kutoka kwa mabeberu

Tundu Lissu: Mnapoambiwa tumekombolewa, mjue ndani ya miaka 5 tumekopa zaidi ya trilioni 40 na bilioni 500 kutoka kwa mabeberu

Hana hoja! Watanzani wana mchora tu! Na atapata majibu yao October 2020.
===
Nyakati hizi ni za nchi mbalimbali kuhakikisha kuwa zinajidhatiti kiuchumi na kiusalama. Je. Lissu, anasema nini juu ya hili kimikakati na kadhalika!? Hana hoja juu ya mambo haya mazito.
Acha uzuzu unajizatiti vipi kwa kulikuza deni la Taifa?
 
mkuu jikite kwenye mada , ni kweli mmekopa hii mihela kutoka kwa mabeberu ? suala la usalama tuliache kwanza maana magufuli alipokuwa anapewa urais na kikwete hata hakujua hata koplo ana "V" ngapi
Lissu hana hoja yoyote. Oktoba 28 Magufuli ni mteremko tu.
 
Sio unaponda wenzio wakati hata iyo chai tu hujanywa.
Badilika kijana muda haukusubiri. Majungu, roho mbaya na kiherehere havikusaidii chochote shauri yako.
 
Mwananchi wa kawaida ukimwambia umekopa sijui tunadaiwa hakuelewi
Mwambie utamsaidia vipi kumsafirishia mazao yake au kumpa bei nzuri
Kampeni hailengi ''mwananchi wa kawaida'' tu. Kampeni inalenga makundi yote ya jamii. Kuanzia mkulima asiyejua hata kuandika mpaka profesa wa Chuo Kikuu. Si lakini unaona wewe umeelewa? Na mkulima naye ataambiwa yanayomhusu. Subiri mwaka huu kuna mtu atajikuta anatawadhia maji ya betri akidhani ni ya bomba.
 
Akiongea na wananchi(probably mkoani Dodoma), Lissu amesema tunapombiwa tumekombolewa, tuelewe mpaka kufikia April ya mwaka huu, serikali ilikuwa imekopa jumla ya shilingi trilioni 40 na bilioni 500 kutoka kwa mabeberu.

Chanzo: Clip ya Lissu mitandaoni(twitter)
Hela gan za ndani zinazotekeleza miradi kama zote tumekopa kwa kipindi cha miaka 5
 
Hana hoja! Watanzani wana mchora tu! Na atapata majibu yao October 2020.
===
Nyakati hizi ni za nchi mbalimbali kuhakikisha kuwa zinajidhatiti kiuchumi na kiusalama. Je. Lissu, anasema nini juu ya hili kimikakati na kadhalika!? Hana hoja juu ya mambo haya mazito.
Unasema hana hoja juu ya hayo!!! Kwani amemaliza kampeni?!
Je, umepitia ilani ya chama chao na ukajiridhisha kabisa kuwa hawana lolote kuhusu hayo?!
 
Hapa Lisu katoa Boko!

Hatujakopa fedha zote hizo!

Aliyempa data hizi Lissu kamlisha kasa, inabidi kitengo cha takwimu na data cha Chadema kifanye homework yake vizuri au msoma takwimu mwenyewe awe makini kwenye kusoma data
 
Lissu anaishia kulaumu tu bila yeye kusema atafanya nini,hatokopa fedha ama akikopa atakopa kiasi gani na kwaajili ya nini,awe anaweka na mbadala wa yeye nini atafanya kuliko yeye kulaumu bila kuonyesha njia.

Maana yake ni kwamba usidharau wala usikashifu watu ambao mnategemeana.
 
Lissu anaishia kulaumu tu bila yeye kusema atafanya nini,hatokopa fedha ama akikopa atakopa kiasi gani na kwaajili ya nini,awe anaweka na mbadala wa yeye nini atafanya kuliko yeye kulaumu bila kuonyesha njia.

Anachosema ni kweli. Halafu kama njia mbadala pia anazo kwenye ilani ya CHADEMA
 
Mwananchi wa kawaida ukimwambia umekopa sijui tunadaiwa hakuelewi
Mwambie utamsaidia vipi kumsafirishia mazao yake au kumpa bei nzuri
Dharau za aina hii ni mbaya sana, kwa hiyo mnaamini "wananchi" ni watu wajinga wajinga wasiojua kitu, ambao eti wako tayari kufanyiwa chochote hata kwa maumivu ya watoto wao? Kama CCM wote wanaamini huu upuuzi wako basi hiki Chama kimepoteza uhalisia wake.
 
Tunaanza kuelewa ukweli wa mambo na yajayo yanafurahisha zaidi, watu watajua ukweli wa mambo ambayo sasa yamefichwa kwa siri kubwa lakini yote yatawekwa wazi.
The burden on our shoulders is escalating. Baba ananunua gari kwa mkopo ya bei mbaya, na hali sisi watoto tunalala njaa. Ee Mungu saidia!
 
Nimeisikiliza hotuba ya Lissu akiongelea kuhusu vitu mbalimbali ikiwepo Tsh trilioni 40 ya mkopo. Lissu anasema hii pesa imekopwa kutoka kwa "mabeberu" katika kipindi cha utawala wa Magufuli.

Naomba wana CCM wajibu kama haya yaliyosemwa ni ya uongo.
 
Akiongea na wananchi(probably mkoani Dodoma), Lissu amesema tunapombiwa tumekombolewa, tuelewe mpaka kufikia April ya mwaka huu, serikali ilikuwa imekopa jumla ya shilingi trilioni 40 na bilioni 500 kutoka kwa mabeberu.

Chanzo: Clip ya Lissu mitandaoni(twitter)
Lissu tuwekee na kiwango pesa tuliyopokea Kama msaada toka kwa beberu ili tuone huyu magufuli anavvoishi kwa kutegemea haya madume ya mbuzi
 
Asubutu. Polepole, jini si jini, kijana sio kijana, baby siyo babu, ataenda kumwambia TID amshtaki Lisu
 
Back
Top Bottom