ShyaRuwa
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 7,895
- 13,643
Dah! Mkuu weacha tu....Mimi nilishaanda hadi sehemu ya parking.🤣🤣🤣 Unazungumzia zile Noah zetu! Hayo ni madai fake!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! Mkuu weacha tu....Mimi nilishaanda hadi sehemu ya parking.🤣🤣🤣 Unazungumzia zile Noah zetu! Hayo ni madai fake!
Acha uzuzu unajizatiti vipi kwa kulikuza deni la Taifa?Hana hoja! Watanzani wana mchora tu! Na atapata majibu yao October 2020.
===
Nyakati hizi ni za nchi mbalimbali kuhakikisha kuwa zinajidhatiti kiuchumi na kiusalama. Je. Lissu, anasema nini juu ya hili kimikakati na kadhalika!? Hana hoja juu ya mambo haya mazito.
Fanya MAGAZIJUTOKwahiyo hapo tunatakiwa tujumlishe au tutoe.. Yani miaka 5 Tena inakuwa 80 T..[emoji28]
Lissu hana hoja yoyote. Oktoba 28 Magufuli ni mteremko tu.mkuu jikite kwenye mada , ni kweli mmekopa hii mihela kutoka kwa mabeberu ? suala la usalama tuliache kwanza maana magufuli alipokuwa anapewa urais na kikwete hata hakujua hata koplo ana "V" ngapi
Muwekeni mwanasheria Sasa itakuwa Mara mbili yakeFanya MAGAZIJUTO
Jr[emoji769]
Kampeni hailengi ''mwananchi wa kawaida'' tu. Kampeni inalenga makundi yote ya jamii. Kuanzia mkulima asiyejua hata kuandika mpaka profesa wa Chuo Kikuu. Si lakini unaona wewe umeelewa? Na mkulima naye ataambiwa yanayomhusu. Subiri mwaka huu kuna mtu atajikuta anatawadhia maji ya betri akidhani ni ya bomba.Mwananchi wa kawaida ukimwambia umekopa sijui tunadaiwa hakuelewi
Mwambie utamsaidia vipi kumsafirishia mazao yake au kumpa bei nzuri
Hela gan za ndani zinazotekeleza miradi kama zote tumekopa kwa kipindi cha miaka 5Akiongea na wananchi(probably mkoani Dodoma), Lissu amesema tunapombiwa tumekombolewa, tuelewe mpaka kufikia April ya mwaka huu, serikali ilikuwa imekopa jumla ya shilingi trilioni 40 na bilioni 500 kutoka kwa mabeberu.
Chanzo: Clip ya Lissu mitandaoni(twitter)
Unasema hana hoja juu ya hayo!!! Kwani amemaliza kampeni?!Hana hoja! Watanzani wana mchora tu! Na atapata majibu yao October 2020.
===
Nyakati hizi ni za nchi mbalimbali kuhakikisha kuwa zinajidhatiti kiuchumi na kiusalama. Je. Lissu, anasema nini juu ya hili kimikakati na kadhalika!? Hana hoja juu ya mambo haya mazito.
Lissu anaishia kulaumu tu bila yeye kusema atafanya nini,hatokopa fedha ama akikopa atakopa kiasi gani na kwaajili ya nini,awe anaweka na mbadala wa yeye nini atafanya kuliko yeye kulaumu bila kuonyesha njia.

Dharau za aina hii ni mbaya sana, kwa hiyo mnaamini "wananchi" ni watu wajinga wajinga wasiojua kitu, ambao eti wako tayari kufanyiwa chochote hata kwa maumivu ya watoto wao? Kama CCM wote wanaamini huu upuuzi wako basi hiki Chama kimepoteza uhalisia wake.Mwananchi wa kawaida ukimwambia umekopa sijui tunadaiwa hakuelewi
Mwambie utamsaidia vipi kumsafirishia mazao yake au kumpa bei nzuri
The burden on our shoulders is escalating. Baba ananunua gari kwa mkopo ya bei mbaya, na hali sisi watoto tunalala njaa. Ee Mungu saidia!Tunaanza kuelewa ukweli wa mambo na yajayo yanafurahisha zaidi, watu watajua ukweli wa mambo ambayo sasa yamefichwa kwa siri kubwa lakini yote yatawekwa wazi.
Lame economist. Every loan burden has a limit.kwa kutazama kwa jicho la Tatu ..kwa hoja yake inadhihirisha kuwa tunakopesheka!...kuna nchi hazina sifa hata ya kukopa USD 1m
Lissu tuwekee na kiwango pesa tuliyopokea Kama msaada toka kwa beberu ili tuone huyu magufuli anavvoishi kwa kutegemea haya madume ya mbuziAkiongea na wananchi(probably mkoani Dodoma), Lissu amesema tunapombiwa tumekombolewa, tuelewe mpaka kufikia April ya mwaka huu, serikali ilikuwa imekopa jumla ya shilingi trilioni 40 na bilioni 500 kutoka kwa mabeberu.
Chanzo: Clip ya Lissu mitandaoni(twitter)