Tundu Lissu mubashara VOA

Naam kabisa
 
Lissu anapenda sana kuichafua nchi yetu.
 
PLO Hana ajualo hapa nchini kwetu. Anaelezea asichokijua, alicholishwa na MATAGA Hali halisi ya the very late dictator tumeiishi, tunaijua sisi
 
Kama ibilisi alivyokuwa alivyokuwa amepoteza ushawishi kwa wananchi,hadi ikabidi anajisi uchaguzi na kuua wananchi ili akae madarakani kwa shuruti.
Ndio, na ameenda zake hamjamfanya lolote. Cowards..
 
Haya, sasa maisha yatakuwa mazuri muache kulalamika

Kama bado tunawalalamikia wakoloni waliondoka zaidi ya nusu karne iliyopita, tunaliachaje kulilalamikia jizi la kura la juzi juzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…