Tundu Lissu mubashara VOA

Tundu Lissu mubashara VOA

Lisu anahongea Kama kiongozi anayeelewa siasa na maisha...Lumumba Kwanza anashindwa kuelewa anawalenga akina Nani, lakini pia he is not real at all, haongei kilichopo moyoni anaongea kufikirika....Lumumba it's kind of Kabudi anapozungumza.

Nimependa kwamba wamerespect kazi ya Mungu, wamejadili hoja na si mtu, wamejadili mfumo ambao kwa mfumo huo binadamu mzuri anaweza kugeuka mbaya, wamejadili Africa ambayo bado demokrasia nikitendawili...lakini pia maendeleo ya vitu na ustawi wa watu vyafaa kwenda sambamba
Naam kabisa
 
PLO Hana ajualo hapa nchini kwetu. Anaelezea asichokijua, alicholishwa na MATAGA Hali halisi ya the very late dictator tumeiishi, tunaijua sisi
 
Kama ibilisi alivyokuwa alivyokuwa amepoteza ushawishi kwa wananchi,hadi ikabidi anajisi uchaguzi na kuua wananchi ili akae madarakani kwa shuruti.
Ndio, na ameenda zake hamjamfanya lolote. Cowards..
 
Haya, sasa maisha yatakuwa mazuri muache kulalamika

Kama bado tunawalalamikia wakoloni waliondoka zaidi ya nusu karne iliyopita, tunaliachaje kulilalamikia jizi la kura la juzi juzi?
 
Back
Top Bottom