kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Sawa!... hakufukiwa; alijengewa kaburi la marumaru aghali za Spain!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa!... hakufukiwa; alijengewa kaburi la marumaru aghali za Spain!
Wanalipwa kwa kazi hiyo mkuuUnahangaika sana na TAL mbona?
Naam kabisaLisu anahongea Kama kiongozi anayeelewa siasa na maisha...Lumumba Kwanza anashindwa kuelewa anawalenga akina Nani, lakini pia he is not real at all, haongei kilichopo moyoni anaongea kufikirika....Lumumba it's kind of Kabudi anapozungumza.
Nimependa kwamba wamerespect kazi ya Mungu, wamejadili hoja na si mtu, wamejadili mfumo ambao kwa mfumo huo binadamu mzuri anaweza kugeuka mbaya, wamejadili Africa ambayo bado demokrasia nikitendawili...lakini pia maendeleo ya vitu na ustawi wa watu vyafaa kwenda sambamba
Ubongo wako bado uko ktk mapambio ya kusifu na kuabudu mtu badala ya nchi.
wenzio wanazungumzia nchi wewe bado uko kumtukuza dikteta aliyekwisha enda zake huko.
akasema JPM kafa kwa covid
akaulizwa ana uthibitisho? akasema anao from reliable source!!!!!!!
Lisu is just sick
Nchi imechafuliwa na Mwenda zakeLissu alijipanga kuchafua nchi .
Wakati umepita, ZUNGUMZIA nchi watu wanapita.Magufuli ameshapita zake.Kamanda jikite kwenye hoja
Ndio, na ameenda zake hamjamfanya lolote. Cowards..Kama ibilisi alivyokuwa alivyokuwa amepoteza ushawishi kwa wananchi,hadi ikabidi anajisi uchaguzi na kuua wananchi ili akae madarakani kwa shuruti.
Ndio, na ameenda zake hamjamfanya lolote. Cowards..
Haya, sasa maisha yatakuwa mazuri muache kulalamikaHatukuwa na muda wa kupoteza, tumemuachia tu covid impe desclipine.
Haya, sasa maisha yatakuwa mazuri muache kulalamika