BILLY ISISWE
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 2,666
- 1,053
Kama wa CCM waonyeshe?Kwani star tv ya Dialo hawaonyeshi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wa CCM waonyeshe?Kwani star tv ya Dialo hawaonyeshi?
Hata mimi nilikuwa na mashaka sanaKama wa CCM waonyeshe?
Ushauri mzuri kwa huyo MATAGAJishughulishe na ccm ya CHADEMA waachie wenyewe.
Tangu lini umekuwa msemaji wa watanzania?Ameshapoteza mvuto kwa wananchi wasio na vyama. Watakao msapoti ni chadema wenzake ambao hawamshauri wana mjaza upepo ili aendelee kubwabwaja yasio ya msingi.
Lumumba hajitambui na uzee tayari ushaanza kumpunguza akili.Hadi PLO Lumumba kamwambia akiendelea kuongozwa na chuki na hasira Kwenye akili na moyo wake ,atapoteza ata mvuto aliokua nao kwa watu
Nasikia siku hizi umeamua kujiajiri mara baada ya kutemwa.
Tatizo lako ukakubali kutumiwa na kila mwenye shida.
Anyway nasikia hao samaki wa ziwa rukwa ni wazuri sana.
Juzi nilikuwa Chunya nikapitia njia ya makongorosi kutokea Mkwajuni nikakutana naye huyo ameanzisha kikundi cha kina mama wanao uza samaki wabichi.Aibu yake
Balaa snJuzi nilikuwa Chunya nikapitia njia ya makongorosi kutokea Mkwajuni nikakutana naye huyo ameanzisha kikundi cha kina mama wanao uza samaki wabichi.
Yaani hata miezi 7 bado kachooka mbaya .
Haahaa tangu lini ccm ikawa ni nchi?Lisu alijipanga kuchafua nchi .
Yani Mkenya PLO Lumumba amejipanga kuitetea Tanzania lakini mzaliwa wa Singida Tundu Lisu anajipanga kuchafua.
Ni aibu kubwa kwa taifa letu
Lakini amegaragazwa ,asante PLO
Kwa lipi? Hana chochote zaidi ya uchumia tumboMungu mlinde PLO Lumumba.
kuiambia dunia ukweli wa hali halisi ya tz ndo kuichafua?!.Lisu alijipanga kuchafua nchi .
Yani Mkenya PLO Lumumba amejipanga kuitetea Tanzania lakini mzaliwa wa Singida Tundu Lisu anajipanga kuchafua.
Ni aibu kubwa kwa taifa letu
Lakini amegaragazwa ,asante PLO
Kama ambavyo ww itabidi uishie kwenye ukweli huu unaokuumiza.Wewe utaishia na tucoment twako hutu twa kila siku,