Tundu Lissu na CHADEMA hamtaweza kukwepa liability kwa uchochezi na uhaini wa October 29

Hata CCM hawatakwepaa na SERIKALII

SEMA KWA SABABU UNA CHUKI NA CDM HUWEZI KUWATAJAA.
 
Very good, unataka root cause sio? Root cuase, ilikua ni serikali ya CCM kuyapuuza madai hahali ya wananchi, kupuuza maazimio ya tume kadhaa ikiwemo tume ya Jaji Chande, Polisi kujiingiza kwenye siasa za CCM, kutekwa na kupotezwa, wachache kufaidi huku wengine wengi wakiishjia kwenye umaskini....etc. Hizo ndio root cause au primary cause, hizo za akina Tundulisu ni secondary causes. Usituone wajinga wote kama mlivyojazana ujinga huko CCM.
 
Uhaini gani umefanyika?

Wewe uko dunia gani?

Si alisema yeye mwenyewe kuwa atahamasisha vurugu na uhaini,na kukinukisha na kuvuruga uchaguzi

Sasa kwa kilichotokea baada ya kauli zake haukukiona??

Sasa anaposhughulikiwa mnamtetea kwa nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…