Hii kauli mbiu mbona ilitangazwa na Mbowe!! Lissu anaingiaje? Kingine ni mjinga tu atakubali kuingia kwenye uchaguzi ambao unajua utashindwa.1. Lisu kusema kwa ukali na makeke hakutaitisha CCM. CCM ni waovu, hawatishwi na maneno!
2. Mama yuko agressive supreme of power! hatishiwi na maneno makali/kelele za juu kama za Heche na Lisu!
3. Watanzania mnaowategemea kushinikiza NO REFORMS, NO ELECTION, ili kuleta REFORMS, hawako kama mnavyowafikiria, bado kabisa kujitoa "mhanga" kutafuta haki!
SIKILIZA USHAURI:
View: https://www.youtube.com/watch?v=ANA3rytxn0Q
Erythrocyte please take note!
to put it correct: siyo Mbowe ni kamati za chama zenye madaraka zilidhia hiyo kauli mbiuHii kauli mbiu mbona ilitangazwa na Mbowe!! Lissu anaingiaje? Kingine ni mjinga tu atakubali kuingia kwenye uchaguzi ambao unajua utashindwa.
1. Lisu kusema kwa ukali na makeke hakutaitisha CCM. CCM ni waovu, hawatishwi na maneno!
2. Mama yuko agressive supreme of power! hatishiwi na maneno makali/kelele za juu kama za Heche na Lisu!
3. Watanzania mnaowategemea kushinikiza NO REFORMS, NO ELECTION, ili kuleta REFORMS, hawako kama mnavyowafikiria, bado kabisa kujitoa "mhanga" kutafuta haki!
SIKILIZA USHAURI:
View: https://www.youtube.com/watch?v=ANA3rytxn0Q
Erythrocyte please take not
Wao wachaguane tu sisi hatushiriki uchaguzi wa kiini macho.Tunajua ccm hawana tofauti na magaidi.
Hapana, hakuna team Mbowe.... sikiliza logic katika andiko ka Ngurumo! Ukisusi so what kwa CCM?Wao wachaguane tu sisi hatushiriki uchaguzi wa kiini macho.
Team Mbowe mnatukatisha tamaa🤣🤣
Kwani kuna kitu ambacho ccm inaogopa? Ulidhani kwa kauli tu wataogopa? Na kama hawaogopi ndio tukae kimya tuendelee kutekwa na kupigwa siku za uchagjzi? Tufanye ninj?Hapana, hakuna team Mbowe.... sikiliza logic katika andiko ka Ngurumo! Ukisusi so what kwa CCM?
LISU WAS MY FAVORITE POLITICIAN! SINA UGOMVI NA LISU, NI ILE BEHAVIOUR YAKE KATIKA KAMPENI.
Kama katibu wenu wa chama katekwa na upendo tu hadi leo mnalalamika mitandaoni. Mtaweza kuzuia uchaguzi? Kuweni seriously jamani. Mbowe pekee ndio aliweza kuivusha chadema ktk mikikiki kama hiiKwahiyo ndugu popo unakaa upande upi, ndege au mnyama?
Dawa ya moto ni moto,
Kiongozi kiziwi anatafutiwa namna ngumu ya kusikia.
Maridhiano yameleta faida Gani, mbona amepuuza maadhimio yote yaliyoletwa mezani Hadi ya akina Zitto?
Hivi sasa kusikia atasikia tu, atake asitake.
Point is, ilikua utawala wa Mbowe sielewi kwanini lawama ziende kwa Lissuto put it correct: siyo Mbowe ni kamati za chama zenye madaraka zilidhia hiyo kauli mbiu
Kila jambo ni hatua. Lissu alishasema wasipofanikiwa wao watafanikiwa watoto wetu au vijakazi vyetu.1. Lisu kusema kwa ukali na makeke hakutaitisha CCM. CCM ni waovu, hawatishwi na maneno!
2. Mama yuko agressive supreme of power! hatishiwi na maneno makali/kelele za juu kama za Heche na Lisu!
3. Watanzania mnaowategemea kushinikiza NO REFORMS, NO ELECTION, ili kuleta REFORMS, hawako kama mnavyowafikiria, bado kabisa kujitoa "mhanga" kutafuta haki!
SIKILIZA USHAURI:
View: https://www.youtube.com/watch?v=ANA3rytxn0Q
Erythrocyte please take note!
Ansbert Ngurumo ni mpuuzi tu, hana lolote zaidi ya wivu1. Lisu kusema kwa ukali na makeke hakutaitisha CCM. CCM ni waovu, hawatishwi na maneno!
2. Mama yuko agressive supreme of power! hatishiwi na maneno makali/kelele za juu kama za Heche na Lisu!
3. Watanzania mnaowategemea kushinikiza NO REFORMS, NO ELECTION, ili kuleta REFORMS, hawako kama mnavyowafikiria, bado kabisa kujitoa "mhanga" kutafuta haki!
SIKILIZA USHAURI:
View: https://www.youtube.com/watch?v=ANA3rytxn0Q
Erythrocyte please take note!
Mbowe still yupo CHADEMA.Kama katibu wenu wa chama katekwa na upendo tu hadi leo mnalalamika mitandaoni. Mtaweza kuzuia uchaguzi? Kuweni seriously jamani. Mbowe pekee ndio aliweza kuivusha chadema ktk mikikiki kama hii
Kweli, anafikiria bado matusi ya vijana wakeMbowe still yupo CHADEMA.
SOMA POST #15Ansbert Ngurumo ni mpuuzi tu, hana lolote zaidi ya wivu
Umesema jambo📌Shida hata chadema wasiposhiriki uchaguzi ccm wataleta tule tuvyama twao tunavyofufuka kipindi cha uchaguz ili kudanganya dunia kuwa tz kuna uchaguzi wa vyama vingi... halafu hapo chadema wanakosa kila kitu no wabunge no nini then ccm wanaendelea na mambo yao kama 2020 tuu
LAWAMA GANI? KAULI HIYO NI MURUA KABISA... THE ONLY OPTION OUT OF THIS CCM POLL RIGINGPoint is, ilikua utawala wa Mbowe sielewi kwanini lawama ziende kwa Lissu