Tundu Lissu na CHADEMA kama chama, sikiliza ushauri huu wa Ansbert Ngurumo

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
1. Lisu kusema kwa ukali na makeke hakutaitisha CCM. CCM ni waovu, hawatishwi na maneno!

2. Mama yuko agressive supreme of power! hatishiwi na maneno makali/kelele za juu kama za Heche na Lisu!
3. Watanzania mnaowategemea kushinikiza NO REFORMS, NO ELECTION, ili kuleta REFORMS, hawako kama mnavyowafikiria, bado kabisa kujitoa "mhanga" kutafuta haki!

SIKILIZA USHAURI:

View: https://www.youtube.com/watch?v=ANA3rytxn0Q

Erythrocyte please take note!
 
Kwahiyo ndugu popo unakaa upande upi, ndege au mnyama?

Dawa ya moto ni moto,

Kiongozi kiziwi anatafutiwa namna ngumu ya kusikia.

Maridhiano yameleta faida Gani, mbona amepuuza maadhimio yote yaliyoletwa mezani Hadi ya akina Zitto?

Hivi sasa kusikia atasikia tu, atake asitake.
 
Hii kauli mbiu mbona ilitangazwa na Mbowe!! Lissu anaingiaje? Kingine ni mjinga tu atakubali kuingia kwenye uchaguzi ambao unajua utashindwa.
 
to put it correct: siyo Mbowe ni kamati za chama zenye madaraka zilidhia hiyo kauli mbiu
 
1. Lisu kusema kwa ukali na makeke hakutaitisha CCM. CCM ni waovu, hawatishwi na maneno!

2. Mama yuko agressive supreme of power! hatishiwi na maneno makali/kelele za juu kama za Heche na Lisu!
3. Watanzania mnaowategemea kushinikiza NO REFORMS, NO ELECTION, ili kuleta REFORMS, hawako kama mnavyowafikiria, bado kabisa kujitoa "mhanga" kutafuta haki!

SIKILIZA USHAURI:

View: https://www.youtube.com/watch?v=ANA3rytxn0Q

Erythrocyte please take not

Tunajua ccm hawana tofauti na magaidi.
Wao wachaguane tu sisi hatushiriki uchaguzi wa kiini macho.

Team Mbowe mnatukatisha tamaa🤣🤣
 
Hapana, hakuna team Mbowe.... sikiliza logic katika andiko ka Ngurumo! Ukisusi so what kwa CCM?

LISU WAS MY FAVORITE POLITICIAN! SINA UGOMVI NA LISU, NI ILE BEHAVIOUR YAKE KATIKA KAMPENI.
 
Kwani kuna kitu ambacho ccm inaogopa? Ulidhani kwa kauli tu wataogopa? Na kama hawaogopi ndio tukae kimya tuendelee kutekwa na kupigwa siku za uchagjzi? Tufanye ninj?
 
Kwahiyo ndugu popo unakaa upande upi, ndege au mnyama?

Dawa ya moto ni moto,

Kiongozi kiziwi anatafutiwa namna ngumu ya kusikia.

Maridhiano yameleta faida Gani, mbona amepuuza maadhimio yote yaliyoletwa mezani Hadi ya akina Zitto?

Hivi sasa kusikia atasikia tu, atake asitake.
Kama katibu wenu wa chama katekwa na upendo tu hadi leo mnalalamika mitandaoni. Mtaweza kuzuia uchaguzi? Kuweni seriously jamani. Mbowe pekee ndio aliweza kuivusha chadema ktk mikikiki kama hii
 
1. Lisu kusema kwa ukali na makeke hakutaitisha CCM. CCM ni waovu, hawatishwi na maneno!

2. Mama yuko agressive supreme of power! hatishiwi na maneno makali/kelele za juu kama za Heche na Lisu!
3. Watanzania mnaowategemea kushinikiza NO REFORMS, NO ELECTION, ili kuleta REFORMS, hawako kama mnavyowafikiria, bado kabisa kujitoa "mhanga" kutafuta haki!

SIKILIZA USHAURI:

View: https://www.youtube.com/watch?v=ANA3rytxn0Q

Erythrocyte please take note!

Kila jambo ni hatua. Lissu alishasema wasipofanikiwa wao watafanikiwa watoto wetu au vijakazi vyetu.

Kikubwa ni kufanya kwa sehemu yetu. Kusema watanzania hawapo tayari ni uzwazwa. Cha muhimu ni kusimama kwenye haki na kuitetea. Wakati wa Mungu ukifika itakuwa.
 
1. Lisu kusema kwa ukali na makeke hakutaitisha CCM. CCM ni waovu, hawatishwi na maneno!

2. Mama yuko agressive supreme of power! hatishiwi na maneno makali/kelele za juu kama za Heche na Lisu!
3. Watanzania mnaowategemea kushinikiza NO REFORMS, NO ELECTION, ili kuleta REFORMS, hawako kama mnavyowafikiria, bado kabisa kujitoa "mhanga" kutafuta haki!

SIKILIZA USHAURI:

View: https://www.youtube.com/watch?v=ANA3rytxn0Q

Erythrocyte please take note!

Ansbert Ngurumo ni mpuuzi tu, hana lolote zaidi ya wivu
 
Kama katibu wenu wa chama katekwa na upendo tu hadi leo mnalalamika mitandaoni. Mtaweza kuzuia uchaguzi? Kuweni seriously jamani. Mbowe pekee ndio aliweza kuivusha chadema ktk mikikiki kama hii
Mbowe still yupo CHADEMA.
 
Shida hata chadema wasiposhiriki uchaguzi ccm wataleta tule tuvyama twao tunavyofufuka kipindi cha uchaguz ili kudanganya dunia kuwa tz kuna uchaguzi wa vyama vingi... halafu hapo chadema wanakosa kila kitu no wabunge no nini then ccm wanaendelea na mambo yao kama 2020 tuu
 
Umesema jambo📌
 
Back
Top Bottom