Tundu Lissu na CHADEMA wamekata tamaa baada ya kukataliwa na Vijana

Napenda kukwambia ukweli usiopenda kuusikia kuwa kwa Sasa Chadema haina Sera Wala ajenda zenye kugusa maisha ya watanzania Ndio sababu ya kupuuzwa na watanzania
 
Ungejuwa haki zako ungekuwa unajidhalilisha namna hii humu JF?
Mimi hapa naeleza ukweli na ungewaona vijana waliokatisha masomo kwa kufukuzwa vyuo kwa sababu ya Chadema ungewaonea huruma Sana na kunichukia chadema Kama ambavyo vijana wengi hawataki hata kusikia habari zake masikioni mwao
 
Mleta post wewe ni shida Kama unakiri vijana wamevunjwa miguu tambua tatizo ni ccm ambayo haipendi watu wadai haki
 
Na sasa mbona wamemgeukia Tale na PhD yake, na ujaona huruma kwake
 
Mimi hapa naeleza ukweli na ungewaona vijana waliokatisha masomo kwa kufukuzwa vyuo kwa sababu ya Chadema ungewaonea huruma Sana na kunichukia chadema Kama ambavyo vijana wengi hawataki hata kusikia habari zake masikioni mwao
Wewe kumbe shule ulienda kukariri tu,yaani hujui unasimamia wapi. Itoshe kukuambia umekosa kote bara na pwani.
 
Aliekataliwa na vijana ni huyu hapa ambae anakiri yeye mwenyewe hilo kutokeašŸ‘‡
Your browser is not able to display this video.
 
Hiyo namba hapo mwisho huwa mnaiweka ili mpigiwe na nani ?

Mnatafuta wachumba au mabwana mitandaoni ?
 
Hivi mtu anawezaje kuandika maelezo marefu hivi yakiwa ni pumba?

Inawezekanaje hivi?
Ha ha Mie hata sijasoma nilivyoona tu Lucas....
Nikajua debe tupu nikashuka chini kusoma comment.

Mbaya zaidi kaweka na # ya simu ili apigiwe[emoji23][emoji23]
 
Mleta post wewe ni shida Kama unakiri vijana wamevunjwa miguu tambua tatizo ni ccm ambayo haipendi watu wadai haki
Tii Sheria bila shuruti ,hakuna Serikali linaloweza kuwaacha vijana wakawa wanafanya vurugu na uharibifu wa Mali za watu mitaani bila kuchukua hatua Kali za kudhibiti vitendo hivyo vya kihuni katika kurejesha amani mitaani
 
Mimi hapa naeleza ukweli na ungewaona vijana waliokatisha masomo kwa kufukuzwa vyuo kwa sababu ya Chadema ungewaonea huruma Sana na kunichukia chadema Kama ambavyo vijana wengi hawataki hata kusikia habari zake masikioni mwao
Labda vijana wa ukoo wenu [emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…