Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #41
Vijana wa ukoo wangu wanajitambua na hawawezi kuwaunga mkono CHADEMA waliojaa ulaghai na ubabaishajiLabda vijana wa ukoo wenu [emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana wa ukoo wangu wanajitambua na hawawezi kuwaunga mkono CHADEMA waliojaa ulaghai na ubabaishajiLabda vijana wa ukoo wenu [emoji1787][emoji1787]
Wewe njoo ufanye kazi kuliko kupoteza muda kutunga magazeti yako ya mipashoKwa hiyo Hilo trekta lako umeligeuza kuwa daladala
Rais Samia Ni chuma kweli kweli,Ni Rais mzalendo shupavu na madhubuti Ndio maana unaona akiendelea kuungwa mkono na mamillion ya vijana wa kitanzaniaAliekataliwa na vijana ni huyu hapa ambae anakiri yeye mwenyewe hilo kutokea👇
View attachment 2511994
Na ndiyo maana amekutambua kuwa wewe uko upande wa Sukuma Gang na kukuacha uendelee kujidhalilisha humu,na kusema kweli wewe ndiye umekata tamaaRais Samia Ni chuma kweli kweli,Ni Rais mzalendo shupavu na madhubuti Ndio maana unaona akiendelea kuungwa mkono na mamillion ya vijana wa kitanzania
Utahangaika Sana mwaka huu Hadi ukome wakati mh Rais akiendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya watanzaniaNa ndiyo maana amekutambua kuwa wewe uko upande wa Sukuma Gang na kukuacha uendelee kujidhalilisha humu,na kusema kweli wewe ndiye umekata tamaa
Utakua una vimelea vya upinde weweNdugu zangu watanzania,
Tegemeo la chadema miaka yote ilikuwa Ni kwa kundi la vijana,Hakika na kwa hakika vijana wa nchi hii walitumika na kutumikishwa Sana na chadema,wazazi wengi Sana wamebaki wanalia machozi kila Siku baada ya watoto wao na vijana wao kufukuzwa vyuoni kwa sababu ya utovu wa Nidhamu na mavurugu yaliyokuwa yanasababishwa na viongozi wa chadema walio kuwa wanawadanagnya vijana na mwisho wa siku wanaishia kufukuzwa vyuo.
Vijana wengi wamekatisha ndoto zao,wamejeruhiwa,wamevunjwa miguu na kuteguliwa viono kwa sababu ya Chadema,vijana wengi wamefukuzwa kazi kwa sababu ya Chadema kuwadanganya na kuwaaminisha kuwa watawasaidia kisheria mahakamani na wanakwenda kuchukua nchi na watawapa vyeo,vijana wengi walifirisika na kupoteza mitaji yao kwa sababu ya kuipigania chadema wakiamini kuwa Ni chama Cha ndoto Yao, na kweli ikaonekana ushujaa na uzalendo kwa kijana kuwa Chadema na kuitwa Kamanda na kuvaa magwanda yao
Mwisho wa siku wakati vijana wamepoteza muelekeo na dira ndipo wakaja kugundua na kufahamu ukweli kuwa Chadema Ni chama Cha kilaghai na kikundi Cha wasaka tonge na madaraka hasa ya ubunge na udiwani,wakaona kuwa viongozi wao wanawachuuza tu na kuwa hawana Uzalendo wowote juu ya nchi yetu.
Wakagundua kuwa Ni CCM pekee ndio chama chenye kuwajali kuwasikiliza kuwapa kipaombele katika mikakati ya kiuchumi,kuwawezesha na kuwakwamua kiuchumi na kuwaendeleza katika juhudi zao, wakagundua ni CCM pekee yenye uchungu na Taifa hili na ambayo imeonyesha ushupavu na umadhubuti katika kuliongoza Taifa letu,Ndio sababu vijana wengi kuanza kurejea CCM na kuchukua kadi za CCM chama ambacho kina Sera na ajenda zinazogusa maisha Yao.
Baada ya Chadema kuanza mikutano yake na kupewa majibu ya kukataliwa na watanzania hasa vijana walio kuwa Tegemeo kwao wamebaki wamekata Tamaa Sana,wamekata pumzi na nguvu za Kuendelea na mikutano Yao,,hawaelewi Ni vipi watasonga mbele wakiwa wanaonekana Kama wasaliti wa Taifa letu.
Tundu Lisu amebaki anaeleza habari zile zile za miaka yote tangia amekwenda ulaya, siyo yeye Wala chadema wenye ushawishi wa kisera na kiajenda kwa watanzania, Hakuna wanachokieleza kinachoweza mshawishi Bibi wa kule kijijini kuwaunga mkono,hawana Sera ya kumgusa mkulima kuweza kuwaunga mkono, Hawana Sera juu ya uzalishaji wa ajira kwa vijana, Hawana Sera Wala ajenda juuu ya uchumi wa mwananchi mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla kama afanyavyo Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani.
Kimebaki Ni chama Cha kuokoteza vihabari,Ni chama kilichokosa Safu ya uongozi yenye kuleta matumaini hata kwa wafuasi wake,ndio maana ya kuona kila mmoja akiwa na msimamo wake,Ni chama ambacho hakina mizizi katika mioyo ya watanzania, Hakuna mwenye akili Timamu anayeweza kuipigania chadema Hadi kuhatarisha maisha yake kwa Sasa ,hayupo mtanzania wa namna hiyo, maana kila mmoja ameshatambua kuwa Chadema Ni kundi la wasaka tonge tu
Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627
Umasiki wa elimu, umasikini wa akili na umasikini wa kipato uliopelekea familiya yake ishindwe kumpa lishe bora kipindi cha makuzi yake ambako kumepelekea awe na udumavu wa akili,mwili na roho.Hivi mtu anawezaje kuandika maelezo marefu hivi yakiwa ni pumba?
Inawezekanaje hivi?
Kwa Sasa ukweli ndio huo kuwa vijana wameipuuza chademaVijana wamepoteza muelekeo kwa sababu ya sera mbovu za chama tawala. Ni CHADEMA ndio haikutoa ajira kwa miaka 6 mfululizo? Ni Lissu ndie aliandaa ile filamu kule sengerema ya kumuuliza kijana umesoma chuo gani na una gpa ya ngapi alafu dogo akajibu ana Degree ya Engineering ya udaktari amesomea Dodoma chuo cha SUA na GPA 32? Kwa taarifa yako ile ilikua sinema ya kuwadhiaki vijana ili kuwaondolea uhalali wa kudai ajira maana wakifanya ivyo watadhiakiwa wasomi wenyewe hawajui hata GPA.. Halafu mkuu hii tabia ya kusema watu hakuna kundi la vijana, wakulima n.k ambalo lilikutuma uwe unawasemea kama kuipongeza serikali uwe unafanya ivyo wewe mwenyewe individually
Uchapa kazi wa Rais Samia umewapoteza kabisa chadema kwenye ramani ya siasa za nchi yetuChawa Lucas Mwashambwa mimi siwezi kuhangaika kwani siishi kwa matumaini ya kuteuliwa kama unavyoishi wewe. Utapata tabu sana kwani umeshajichanganya.
Ndugu zangu watanzania,
Tegemeo la chadema miaka yote ilikuwa Ni kwa kundi la vijana,Hakika na kwa hakika vijana wa nchi hii walitumika na kutumikishwa Sana na chadema,wazazi wengi Sana wamebaki wanalia machozi kila Siku baada ya watoto wao na vijana wao kufukuzwa vyuoni kwa sababu ya utovu wa Nidhamu na mavurugu yaliyokuwa yanasababishwa na viongozi wa chadema walio kuwa wanawadanagnya vijana na mwisho wa siku wanaishia kufukuzwa vyuo.
Vijana wengi wamekatisha ndoto zao,wamejeruhiwa,wamevunjwa miguu na kuteguliwa viono kwa sababu ya Chadema,vijana wengi wamefukuzwa kazi kwa sababu ya Chadema kuwadanganya na kuwaaminisha kuwa watawasaidia kisheria mahakamani na wanakwenda kuchukua nchi na watawapa vyeo,vijana wengi walifirisika na kupoteza mitaji yao kwa sababu ya kuipigania chadema wakiamini kuwa Ni chama Cha ndoto Yao, na kweli ikaonekana ushujaa na uzalendo kwa kijana kuwa Chadema na kuitwa Kamanda na kuvaa magwanda yao
Mwisho wa siku wakati vijana wamepoteza muelekeo na dira ndipo wakaja kugundua na kufahamu ukweli kuwa Chadema Ni chama Cha kilaghai na kikundi Cha wasaka tonge na madaraka hasa ya ubunge na udiwani,wakaona kuwa viongozi wao wanawachuuza tu na kuwa hawana Uzalendo wowote juu ya nchi yetu.
Wakagundua kuwa Ni CCM pekee ndio chama chenye kuwajali kuwasikiliza kuwapa kipaombele katika mikakati ya kiuchumi,kuwawezesha na kuwakwamua kiuchumi na kuwaendeleza katika juhudi zao, wakagundua ni CCM pekee yenye uchungu na Taifa hili na ambayo imeonyesha ushupavu na umadhubuti katika kuliongoza Taifa letu,Ndio sababu vijana wengi kuanza kurejea CCM na kuchukua kadi za CCM chama ambacho kina Sera na ajenda zinazogusa maisha Yao.
Baada ya Chadema kuanza mikutano yake na kupewa majibu ya kukataliwa na watanzania hasa vijana walio kuwa Tegemeo kwao wamebaki wamekata Tamaa Sana,wamekata pumzi na nguvu za Kuendelea na mikutano Yao,,hawaelewi Ni vipi watasonga mbele wakiwa wanaonekana Kama wasaliti wa Taifa letu.
Tundu Lisu amebaki anaeleza habari zile zile za miaka yote tangia amekwenda ulaya, siyo yeye Wala chadema wenye ushawishi wa kisera na kiajenda kwa watanzania, Hakuna wanachokieleza kinachoweza mshawishi Bibi wa kule kijijini kuwaunga mkono,hawana Sera ya kumgusa mkulima kuweza kuwaunga mkono, Hawana Sera juu ya uzalishaji wa ajira kwa vijana, Hawana Sera Wala ajenda juuu ya uchumi wa mwananchi mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla kama afanyavyo Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani.
Kimebaki Ni chama Cha kuokoteza vihabari,Ni chama kilichokosa Safu ya uongozi yenye kuleta matumaini hata kwa wafuasi wake,ndio maana ya kuona kila mmoja akiwa na msimamo wake,Ni chama ambacho hakina mizizi katika mioyo ya watanzania, Hakuna mwenye akili Timamu anayeweza kuipigania chadema Hadi kuhatarisha maisha yake kwa Sasa ,hayupo mtanzania wa namna hiyo, maana kila mmoja ameshatambua kuwa Chadema Ni kundi la wasaka tonge tu
Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627
Napenda kukwambia ukweli usiopenda kuusikia kuwa kwa Sasa Chadema haina Sera Wala ajenda zenye kugusa maisha ya watanzania Ndio sababu ya kupuuzwa na watanzania
Tii Sheria bila shuruti ,hakuna Serikali linaloweza kuwaacha vijana wakawa wanafanya vurugu na uharibifu wa Mali za watu mitaani bila kuchukua hatua Kali za kudhibiti vitendo hivyo vya kihuni katika kurejesha amani mitaani
Rais Samia Ni chuma kweli kweli,Ni Rais mzalendo shupavu na madhubuti Ndio maana unaona akiendelea kuungwa mkono na mamillion ya vijana wa kitanzania
Uongo ukizidi utakuwa mchawi. Ona Tanga kunakujulikana kama ngome ya CCM na CUF jinsi Mbowe alivyopokelewa!Hakuna kijana wa kwenda kwenye mikutano kuangalia makovu huku hajui atakula nini
USSR
Hata kilimo kinaendeshwa na wenye akili, jee wewe ni mmoja wao? Nina mashaka!Nimeridhika na kilimo
Kama hakuna ambaye ameshakuambia ukweli mimi nakuambia ukweli kuwa wewe ni member ambaye unapuuzwa kuliko wote hapa jamvini. Angalia reaction ya wadau kwa thread na post zako. Unajidhalilisha sana.Napenda kukwambia ukweli usiopenda kuusikia kuwa kwa Sasa Chadema haina Sera Wala ajenda zenye kugusa maisha ya watanzania Ndio sababu ya kupuuzwa na watanzania
Huyu maiisha yameshamshinda anatafuta short cut ya maisha apatikane mtu wa kumleaHiyo namba hapo mwisho huwa mnaiweka ili mpigiwe na nani ?
Mnatafuta wachumba au mabwana mitandaoni ?
Hivi chawa Lucas Mwashambwa na mimi nani anahangaika humu jukwaani kutafuta attention ya mteuzi? Wewe unayekesha kuandika magazeti kumsifia Mama na kuweka namba za simu hayo ndiyo mahangaiko. Mabandiko yako unayojaza humu yanakuelezea wewe kuwa umechanganyikiwa akili na siku si nyingi utaanza kula majalalani.Utahangaika Sana mwaka huu Hadi ukome wakati mh Rais akiendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya watanzania