Tundu Lissu na CHADEMA wamekata tamaa baada ya kukataliwa na Vijana

Kwa hiyo Hilo trekta lako umeligeuza kuwa daladala
Wewe njoo ufanye kazi kuliko kupoteza muda kutunga magazeti yako ya mipasho

PM iko wazi usione aibu najua umechapika vilivyo njoo haraka kijana uchawa haulipi shauri yako
 
Rais Samia Ni chuma kweli kweli,Ni Rais mzalendo shupavu na madhubuti Ndio maana unaona akiendelea kuungwa mkono na mamillion ya vijana wa kitanzania
Na ndiyo maana amekutambua kuwa wewe uko upande wa Sukuma Gang na kukuacha uendelee kujidhalilisha humu,na kusema kweli wewe ndiye umekata tamaa
 
Na ndiyo maana amekutambua kuwa wewe uko upande wa Sukuma Gang na kukuacha uendelee kujidhalilisha humu,na kusema kweli wewe ndiye umekata tamaa
Utahangaika Sana mwaka huu Hadi ukome wakati mh Rais akiendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya watanzania
 
Utakua una vimelea vya upinde wewe
 
Vijana wamepoteza muelekeo kwa sababu ya sera mbovu za chama tawala. Ni CHADEMA ndio haikutoa ajira kwa miaka 6 mfululizo? Ni Lissu ndie aliandaa ile filamu kule sengerema ya kumuuliza kijana umesoma chuo gani na una gpa ya ngapi alafu dogo akajibu ana Degree ya Engineering ya udaktari amesomea Dodoma chuo cha SUA na GPA 32? Eti mtu kamaliza chuo alafu asijue hata GPA ni nini.! Kwa taarifa yako ile ilikua sinema ya kuwadhiaki vijana ili kuwaondolea uhalali wa kudai ajira maana wakifanya ivyo watadhiakiwa wasomi wenyewe hawajui hata GPA.. Halafu mkuu acha hii tabia ya kusemea watu hakuna kundi la vijana, wakulima n.k ambalo lilikutuma uwe unawasemea kama kuipongeza serikali uwe unafanya ivyo wewe mwenyewe individually
 
Hivi mtu anawezaje kuandika maelezo marefu hivi yakiwa ni pumba?

Inawezekanaje hivi?
Umasiki wa elimu, umasikini wa akili na umasikini wa kipato uliopelekea familiya yake ishindwe kumpa lishe bora kipindi cha makuzi yake ambako kumepelekea awe na udumavu wa akili,mwili na roho.

CCM ndiyo inataka Watanzania wawe hivyo.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwa Sasa ukweli ndio huo kuwa vijana wameipuuza chadema
 
Usingeweka namba zako za simu ningekushangaa sana ndugu CHAWA
 
Chawa Lucas Mwashambwa mimi siwezi kuhangaika kwani siishi kwa matumaini ya kuteuliwa kama unavyoishi wewe. Utapata tabu sana kwani umeshajichanganya.
Uchapa kazi wa Rais Samia umewapoteza kabisa chadema kwenye ramani ya siasa za nchi yetu
 


Haya ndio mambo ya msingi ya kujadili Sisi kama vijana,

Sio kujadili mambo ya chama ambacho hakina madhara yoyote kwenye serikali
 

Attachments

  • Screenshot_20230209-174429_Instagram.jpg
    45.8 KB · Views: 2
Napenda kukwambia ukweli usiopenda kuusikia kuwa kwa Sasa Chadema haina Sera Wala ajenda zenye kugusa maisha ya watanzania Ndio sababu ya kupuuzwa na watanzania

Kwa Tanzania kwa sasa hakuna chama chenye Sera wala ajenda za kugusa Maisha ya watu

Wote wako After ufisadi tu

Leo bungeni serikali imeshindwa hata kuleta Muswada wa Bima Kwa wote

Kama unashindwa kutoa Bima Kwa wanainchi wako unawajali Kwa Jambo gani?

Watu wote wanataka miradi ambayo ela inapigwa

Kama mradi ujao wa kufumua Grid ya taifa total ni 1 tilion

Ww endelea kulete ngonjera tu
 
Tii Sheria bila shuruti ,hakuna Serikali linaloweza kuwaacha vijana wakawa wanafanya vurugu na uharibifu wa Mali za watu mitaani bila kuchukua hatua Kali za kudhibiti vitendo hivyo vya kihuni katika kurejesha amani mitaani

Wale wa Jana kule mwanza ni because ya chadema ?
 
Rais Samia Ni chuma kweli kweli,Ni Rais mzalendo shupavu na madhubuti Ndio maana unaona akiendelea kuungwa mkono na mamillion ya vijana wa kitanzania

Kweli kabisa
 

Attachments

  • Screenshot_20230209-174429_Instagram.jpg
    45.8 KB · Views: 2
  • 5237779-828a38e49620fc96778ba70935600757.mp4
    6.9 MB
Hakuna kijana wa kwenda kwenye mikutano kuangalia makovu huku hajui atakula nini

USSR
Uongo ukizidi utakuwa mchawi. Ona Tanga kunakujulikana kama ngome ya CCM na CUF jinsi Mbowe alivyopokelewa!

 
Napenda kukwambia ukweli usiopenda kuusikia kuwa kwa Sasa Chadema haina Sera Wala ajenda zenye kugusa maisha ya watanzania Ndio sababu ya kupuuzwa na watanzania
Kama hakuna ambaye ameshakuambia ukweli mimi nakuambia ukweli kuwa wewe ni member ambaye unapuuzwa kuliko wote hapa jamvini. Angalia reaction ya wadau kwa thread na post zako. Unajidhalilisha sana.
 
Utahangaika Sana mwaka huu Hadi ukome wakati mh Rais akiendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya watanzania
Hivi chawa Lucas Mwashambwa na mimi nani anahangaika humu jukwaani kutafuta attention ya mteuzi? Wewe unayekesha kuandika magazeti kumsifia Mama na kuweka namba za simu hayo ndiyo mahangaiko. Mabandiko yako unayojaza humu yanakuelezea wewe kuwa umechanganyikiwa akili na siku si nyingi utaanza kula majalalani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…