Tundu Lissu na CHADEMA wamekata tamaa baada ya kukataliwa na Vijana

Hana watu wa karibu wanaoweza kumsaidia hadi aje kujianika mitandaoni ?
Huyu chawa ana hali mbaya sana. Ukiangalia post zake tangu ameanza uchawa unaona kila siku maudhui ya nyuzi zake yanachuja kwa kasi ya ajabu kielelezo kuwa ameshapata wazimu bado kuokota makopo tu.
 
Hakuna kijana wa kwenda kwenye mikutano kuangalia makovu huku hajui atakula nini

USSR
Tunalipongeza jeshi la polisi Mwanza mjini kudhibiti wahuni wanaojiita wamachinga. RPC kamatia hapohapo kudhibiti sukuma gang wanaotumia wamachinga kuhujumu amani ya nchi.
 
Mkakati wa CCM kuhakikisha elimu inayotolewa mashuleni hasa shule za umma haimsaidii kijana kujitegemea na kupata taaluma ndiyo mkakati unaokupa nguvu kuja mitabdaoni kujivunia matendo ya vijana waliofeli na wanaoachwa mitaani bila program ya maana kuwakwamua.

Vijana wasomi na wanaojitambua wsnaelewa nafasi na umuhimu wa wapinzani. Hawana mindset za uvccm wabeba mikoba
 
CCM na serikali yake imefanya juhudi kubwa Sana kuwakwamua na kuwawezesha vijana kiuchumi ikiwepo kuwapa mikopo kupitia halmashauri zao
 
 
CCM na serikali yake imefanya juhudi kubwa Sana kuwakwamua na kuwawezesha vijana kiuchumi ikiwepo kuwapa mikopo kupitia halmashauri zao
serikali inawapa mitaji vijana ambao kimsingi hawajui ABC za kuwekeza. Is a joke kwa sababu badala na kuanza kuwapa elimu ya uwekezaji inawapa hela.

Unapompa silaha mtu ambaye haujamfundisha nidhamu na kuitunza silaha lengo lako ni kuzalisha vita na uhalifu.

Hebu nipe jina la kiongozi mmoja serikalini kunzia wabunge to top ambaye mwanae anasoma shule za umma.

Nini maana ya kusimamia nchi kama huwezi kula portion unayoiandaa mwenyewe? Mnatuletwa sumu tufe ili muendelee kuishi wenyewe
 
Mzee wa pointless!! Kama usemayo ni kweli basi hakupaswo kukawa na vijana wa aina nchini kwa sababu CCM inapaswa kuhakikisha mambo ya vijana yanakwenda sawa.

Fikiri kidogo mara ZOTE kabla hujaweka bandiko!! Kuwepo kwa vijana uliowasema ni madhaifu ya CCM kuliko CHADEMA.
 
Serikali ya CCM imeendelea kufanya juhudi na jitihada kubwa Sana za kiuwekezaji kwa vijana Katika kuwawezesha kiuchumi,kwa kuwapatia mikopo kupitia halmashauri zao,kujenga miradi mikubwa inayotoa fursa za ajira pamoja na kuimarisha mazingira ya uwekezaji kuvutia wawekezaji wengi katika lengo la kusaidia kuzalisha ajira nyingi na kuwapatia ujuzi vijana wa kuweza kujiajiri wenyewe katika secta mbalimbali
 
Nyie vijana wageni msinye mkarogwa mkatumia namba za simu mnazoziona humu Jf. Kwa namna yoyote ile, waachieni watumie hao wanaotaka kutunuku PHD.
Na Hilo Ni tego pia [umeona katika Hilo bandiko maneno: vijana wengi walijeruhiwa, walifukuzwa vyuoni, walifilisiwa]

Sio kwa sababu walivunja sheria za nchi hapana! Wakati wa JK na wakati wa Mkapa kwa kiasi Fulani walikubaliana ingawa sio moja kwa moja na katiba hii inayoruhusu mfumo wa vyama vingi ndio Mana hata idadi kubwa ya viongozi (wabunge wa vyama vya upinzani waliweza kuwawakilisha wananchi Bungeni) hata wakina Shibuda, Mzee Mapesa na Mbatia waliwakilisha wananchi Bungeni!

Alipoingia JPM akabadili upepo na kuvifanya vyama vya siasa kuwa na sura ya uhaini! Yeyote aliyeonekana kuwa mrengo usiondena na CCM na Sera zake alihesabiwa Kama mhaini kuanzia ngazi ya familia mpaka Taifa!

Ninaposema tego nina maanisha kwamba huyu Mwashambwa bado ana mentality ya ******** kwa kugain faida kwa Samia, kwanini mmeona hata maramoja akizungumzia mafanikio au achievements za CCM tangu Tanu mpaka hivi Sasa!

Ni Mara chache mtaona anapost kumkumbuka JK kwa sababu anajua mzee bado ana influence kwenye serikali iliyoko madarakani kwa maana hiyo kumponda Ni sawa na kujimaliza.

Hakuna Uzi wowote anaoupandisha unazungumzia mafanikio ya JPM Kwa miaka mitano, kwa sababu gan? Anataka kuwawin maadui wa JPM ndani na nje ya chama kwa expense ya kuiponda CDM na sio chama kingine chochote Cha siasa kwa sababu anajua bado CDM Ni tishio na kina wafuasi wengi.

Hizo number anazoweka Ni tricky sio tu ya kuteuliwa Bali kutafuta sympathy nkwenye Dola pale wasiokubaliana nae watakapompigia simu kumpa makavu wakutane na mkono wa Dola! Apate sifa ya kulinda watawala kwa kuwachoma wasiokubaliana na utawala!

Watch out don't contact this idiot!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…