Uchaguzi 2020 Tundu Lissu na Dkt. Magufuli wajiandae kisaikolojia, lolote linaweza kutokea

Japo umesema ni mtazamo wako lkn ni mtazamo wa jamii nzima. Tumechoshwa vya kutosha. Ngoja tubadili mwelekeo wa jahazi ili tukapate samaki wengi na bora.


 

Paschal Njoo saa ujifunze namna ya kuchambua siasa!
 
Yupo jamaa mmoja umu jamii forum anaitwa pasikali mayala huyo piga ua kura yake kwa jiwe.
Mimi pia ni kwa JPM Niko pamoja na mamilioni na mamilioni ya Watanzania kura ni kwa JPM tu...nyie mpigieni kibaraka wa mabeberu, msaliti nambari wani, mtu wa faragha...ila Watanzania kwa mamilioni ni JPM tu...Watanzania kwa mamilioni hawawezi kumpa kura msaliti wa nchi..hawawezi kumpa mtu kura anayesema Bila aibu kuwa sisi tunawahitaji mabeberu...hawawezi kumpa kumpa kura ambaye ameapa kuweka raslimali zetu Kama dhamana kwa mabeberu...hawawezi kumpa mtu laghai na Malaya wa kisiasa na an imperialist stooge...kamwe huyo Lissu ajiandae kisaikolojia Cha pigo la kihistoria...amlete huyo beberu Amsterdam. awe msimamizi wa uchaguzi..
 
Wewe umeongea kama mtafuti wa CCM
 
Dalili zakukosa ugali hizi
kuna mtu anaeibia Nchi hii kama jiwe!
 
Kama ulikuwa na cheti feki nikupe pole.



Hautokaa ulipwe mpaka ukamilfu wa dahari. Na sioni mantiki ya kumtetea mtu aliekuwa na cheti feki wakati aliziba nafasi kwa walio na vyeti halali.



Ni upuuzi huu.
Hakuna huo ni udhulumaji na ukatili wa Hali ya juu
 
hakuna wa kujiandaa kwa vile wote wanajua matokeo!
 
Zaidi ya kuiba kura kukimbia na maboksi hamtashinda
Siku zote mnakwama sababu ya kulialia - come with conclusive iwapo watakimbia na boks nini kifanyike - so, unataka kupata ushindi kwa kutumia kipande cha karatasi na kalamu ya Obama!!!!!

Go and see or learn about black people in America history - utagundua the way forward.
 
Kama ulikuwa na cheti feki nikupe pole.



Hautokaa ulipwe mpaka ukamilfu wa dahari. Na sioni mantiki ya kumtetea mtu aliekuwa na cheti feki wakati aliziba nafasi kwa walio na vyeti halali.



Ni upuuzi huu.
Hao wenye vyeti halali mmewaajiri?
Wewe utopolo
 
Ni aibu kwa anayejiita mzee/mkongwe/mhenga kuwa na propaganda za vijana wa balehe wa kizazi cha milenia.
Hakuna mwana CCM timamu wa enzi za chini ya miaka ya 1980 anayeweza kushabikia siasa za hovyo za CCM ya sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo,historia ya watu weusi wa huko Marekani ndio tuifananishe na sisi?
Hapo maana yake,hawa wanaotuongoza leo ni sawa na wale waliokuwa wakiwakandamiza watu weusi huko Marekani?
Kwa hiyo nasi tutumie mbinu za enzi hizo kumtoa "mkandamizaji" wa haki za Mtanzania?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mbona unaonesha kabisa upo kwenye hao nyoka wa kijani ila SEMA kushinda atashinda lisu ila kutangazwa atatangazwa meko kwa sababu ya necccm na polisccm
 
mchambuzi umejaribu kueleza mtazamo wako juu ya siasa .Huku ukitoa maoni linganisha kati ya Lowasa na Lissu.Ila ukweli unabaki pale pale kuwa mzee lowasa alikuwa na mipango sema alizidiwa na mamlaka kwa kuhujumiwa na sioni aibu kusema kuwa hata kura alizozipata Lowasa sidhani kama Tundu atazipata maana katika siasa watu ndo mtaji hivyo wimbi la watu wasiokuwa wanachama na wanachama pamoja na umarufuu uliojengwa na upizani chini ya Zitto na Dr slaa enzi hizo uliongeza sana hamasa kwenye siasa mwaka 2015.
Kwa siasa za sasa kweli Mh Dr magufuli anayomadhaifu yake hasa kuanzia kauli zake,upendeleo wa wazi kwenye nafasi pamoja na kuto jali masilahi ya watumishi bado anaendelea kuwa kwenye nafasi ya kushinda kwa sababu mpinzani wake amekuwa mtu wa mihemko na kuhubiri chuki zaidi .Kwa ujumla awamu hii wagombea wote wanakasolo za wazi kabisa ila hakuna namna .Angalau kuna viashiria vya maendeleo vinaonekana kupitia Dr Magufuli kwa kuiona,kusikia na kuhisi .
Kikubwa kila mtu asimamie upande wake tarehe 28/10 sio mbali tuendelee kutimiza wajibu na siku hiyo tufanye hivyo hivyo.
 
Ni aibu kwa anayejiita mzee/mkongwe/mhenga kuwa na propaganda za vijana wa balehe wa kizazi cha milenia.
Hakuna mwana CCM timamu wa enzi za chini ya miaka ya 1980 anayeweza kushabikia siasa za hovyo za CCM ya sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kauli Kama hizi ndio maana hamuwezi kupata kura za mamilioni ya watanzania ambao ni wanachama, wafuasi na wapenzi wa CCM...yaani baadala ya kuwanyenyekea watu nyie mnawatukana, kuwadharau na kuwakejeli...ni sababu hizi ndio watu wengi kwa mamilioni wamepania kujitokeza kupiga kura ili kuwaadhibu hiyo Oktoba 28...mnawakasirisha wapiga kura baadala ya kuwanyenyekea...Kama CCM Ina siasa za ovyo ndipo utatambua wewe na wenzako hiyo 0ktoba 28. Mtalia na kusaga meno...
 
Watanzania wenye akili timamu ni wengi sana. Watanzania wasio na akili timamu ni wachache sana. Sioni kama kama kuna mtanzania mwenye akili timamu atakayempigia kura Magufuli.
Kumpigia mmoja wapo wa wagombea sio kipimo cha 'kuwa na' au 'kukosa' utimamu wa akili. Kupiga kura ni haki ya kila mtu naye ana haki ya kumchagua kiongoZi anayemtaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…